Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Maana mechi za simba na yanga zote saa kumi uwezo wa kuzionyesha wanaweza ila sauti unaweka kwenye mechi ipi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo watanzania tutakuwa bize na matukio mawili na hivi punde mechi zinaenda kuanza pale nchini Zambia na Rwanda limebaki saa moja la kufanya maombi ya mwisho. Mungu awabariki mashujaa wetu...
1 Reactions
4 Replies
650 Views
Mimi nishabiki la simba ila Yanga wananigusa sana dadeq... Mpira wanaocheza ni mara mia ya USM Alger Jana dhidi ya Al ahly Ila sisi Simba subiri TU jwe maji kwanza
0 Reactions
6 Replies
1K Views
LEO TWENDENI TUKAJAZE UWANJANI SAA 09:30 ALASIRI JUMAMOSI YA 16/09/2023 MECHI MUHIMU KWETU NYUMBANI LIGI KUU NBC PREMIER MASHUJAA FC Vs IHEFU FC LAKE TANGANYIKA HATOKI MTU SALAMA…. “Uchungu wa...
1 Reactions
6 Replies
990 Views
Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa. Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa...
21 Reactions
73 Replies
7K Views
Matangazo zaidi ya dakika 15?
0 Reactions
0 Replies
257 Views
Wananchi walivyojiandaa na kwenda kigali tumewatesa wengi sana. Sasa wanababaika hovyo, kuandika upuuzi wa kila aina. Tumetisha.
9 Reactions
10 Replies
2K Views
Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na...
2 Reactions
4 Replies
993 Views
𝙆𝙄𝙉𝙂𝙄𝙇𝙄𝙊 𝙍𝘼𝙄𝙎 𝙀𝙉𝙂 𝙃𝙀𝙍𝙎𝙄 𝙎𝘼𝙄𝘿 𝘼𝙈𝙀𝙎𝙃𝘼𝙇𝙄𝙋𝙄𝘼 Rais wa Yanga Eng Hersi Ally Said amewanunulia tiketi mashabiki wote wa Yanga leo ambao walisafiri Kutoka Tanzania kuja Rwanda kwa ajili ya mchezo wa...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila. Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili...
10 Reactions
48 Replies
2K Views
Reporter wa Clouds FM radio ambaye yuko Zambia, Nassib Mkomwa amesema uongozi wa klabu ya Simba SC umewanunulia tiketi mashabiki wote waliosafiri kwenda Zambia kuisapoti timu ya Simba SC. Sent...
1 Reactions
2 Replies
482 Views
Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri. Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita )...
0 Reactions
6 Replies
883 Views
Igweee! Naomba niende directly kwenye Point: Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa...
16 Reactions
34 Replies
6K Views
Taratibu sasa naanza kumuamini Haji Manara kuwa Wenye Akili timamu Kwao ni Wawili tu Baba yake na Rais Mstaafu Kikwete. Mkiambiwa ni Washamba mnanuna.
7 Reactions
82 Replies
8K Views
"Mashabiki wametuangusha sana,Kama uongozi tumesikitika sana kuona mashabiki wachache ndio wanaenda Zambia kuishangilia Simba" AHMED ALLY,Afisa Habari Simba. Sent using Jamii Forums mobile app
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
Mm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa...
24 Reactions
73 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…