Kwanini macho na masikio ni kwenye mechi ya Yanga na siyo Simba

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
 
Vipofu wameona mwezi....
 
Kwa sababu yanga ina wachezaji na simba ina wachezwaji.
 
Huwezi kuambatana na msemaji kama ahamed ally anaelopoka vitu asivyovijua..
Yaani simba wamtafute msemaji anaejua mpira ni nini kwanza.

Huyu dogo kamwe, mpira anaujua na akiongea kitu hata mbele za watu wenye heshima zao, anaeleweka na unakua na amani kwa kile atachokizunguza...huyu dogo hata akiingia kwenye siasa, akipanda jukwaani akiongea unamuelewa.
 
Nimeshangaa hakuna uwiano wa habari kwenye vyombo vya habari,mechi inayopewa kipaombele ni ya Yanga vs Al Marekh na mechi ya Simba kupuuzwa.

Hata msafara unaongelewa wa Yanga na msafara wao wa makosta,waandishi wa habari wanaongelea Yanga tu na hata baadhi yao kusafiri na Yanga kama timu nzima ya clouds sport extra.

Kwanini vyombo vya habari vipo biased? Mechi ya Yanga ina nini hasa?
Jibu liko wazi mbona, kama tu mashabiki wao kutwa kuandika na kuisema Yanga, jiulize nani atawasemea timu yao? GENTAMYCINE na wenzake wana la kujifunza. Yaani Yanga inasemwa zaidi na Simba wakidhani wanaivuruga, kumbe wanafanya watu waifuatilie zaidi.
 
Huwezi kuambatana na msemaji kama ahamed ally anaelopoka vitu asivyovijua..
Yaani simba wamtafute msemaji anaejua mpira ni nini kwanza.

Huyu dogo kamwe, mpira anaujua na akiongea kitu hata mbele za watu wenye heshima zao, anaeleweka na unakua na amani kwa kile atachokizunguza...huyu dogo hata akiingia kwenye siasa, akipanda jukwaani akiongea unamuelewa.
Inaonekana hata akikuoomba Trako utamuelewa na kumpa.
 
Mikutano ya yanga ina "bahasha" GSM anawalipa waandishi kupush agenda..Simba walishatoka huko,ukitaka wazungumzie hutaki acha..
KICHWA CHA SHABIKI WA SIMBA AKA MAKOLO

GSM anawapa bahasha marefa
GSM anawapa bahasha TFF
GSM anawapa bahasha timu pinzani wacheze chini ya kiwango
GSM anawapa bahasha timu pinzani zinazocheza na simba
GSM anawapa bahasha mashabiki
GSM anawapa bahasha CAF
GSM anawapa bahasha waandishi wa habari
GSM anawapa bahasha wachezaji wa timu pinzani ili wawaumize wachezaji wa simba
 
Baelezeage hao.
 
Back
Top Bottom