Mimi kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria

Carasco Putin

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
8,668
25,836
Mm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria
Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa goli 2 bila dhidi ya marafiki zetu simba
Wakazi wote wa ARNAT,AMDOUKAL,BECHAR,BEJALA na viunga vyote vya Algeria mnakaribisha kupiga picha tarehe 29 maana kombe tumeshalichukua

Shabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA.
Hii ni timu yenye mafanikio na yenye kutoa nyota(wachezaji mashuhuri wenye vipaji vya Ballon dor wanaocheza ligi kubwa duniani kama RIYAD MAHREZ, KARIM BENZEMA,SAID BENRAHMA hawa wote walicheza klabu pendwa ya USM ALGER)
kama ilivyo kawaida yetu usm Alger hatujawahi kupoteza fainal wala kombe lolote mbele yetu
USM ALGER ni Madrid ya ulaya
c3be8bfc-8962-4e4a-bee9-2a790348b08e.jpg

Kikosi cha USM ALGER chenye thamani ya BIL 50
e843bba1-d6b3-4f6c-bc48-f61cc1e550bd.jpg

Anaitwa MUSTAPHA BOUCHINA kacheza Aston Villa timu yenye Uefa hata Arsenal hana
Ana mechi 20 goli 78
809985ce-9963-49ff-b92f-2c9cbf11bd37.jpg

Huu ni uwanja wetu USM ALGER wa mazoez tu ambao hata hao UTO hawana kiwanja hata cha kufugia maafisa habari wao
432926ac-4ba3-4980-befe-37aa75ffe285.jpg

Huu ndyo uwanja wetu pendwa USM ALGER upo pembezoni mwa bahari mara mwisho timu kutufungwa hapa 2019
Najua UTO hamna uwanja poooo

BA NTWA BA USM ALGER
QULED EL-BAHOJA
 
Mm kama shabiki wa USM ALGER nikiwa katika jiji lenye raha hapa ALGIERS nchini Algeria
Timu yangu pendwa toka utotoni ipo fainal kuchukua kombe letu mapema dhidi ya timu dhaifu iliyoshindiliwa goli 2 bila dhidi ya marafiki zetu simba
Wakazi wote wa ARNAT,AMDOUKAL,BECHAR,BEJALA na viunga vyote vya Algeria mnakaribisha kupiga picha tarehe 29 maana kombe tumeshalichukua

Shabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA.
Hii ni timu yenye mafanikio na yenye kutoa nyota(wachezaji mashuhuri wenye vipaji vya Ballon dor wanaocheza ligi kubwa duniani kama RIYAD MAHREZ, KARIM BENZEMA,SAID BENRAHMA hawa wote walicheza klabu pendwa ya USM ALGER)
kama ilivyo kawaida yetu usm Alger hatujawahi kupoteza fainal wala kombe lolote mbele yetu
USM ALGER ni Madrid ya ulaya View attachment 2627741
Kikosi cha USM ALGER chenye thamani ya BIL 50 View attachment 2627745
Anaitwa MUSTAPHA BOUCHINA kacheza Aston Villa timu yenye Uefa hata Arsenal hana
Ana mechi 20 goli 78 View attachment 2627753
Huu ni uwanja wetu USM ALGER wa mazoez tu ambao hata hao UTO hawana kiwanja hata cha kufugia maafisa habari wao View attachment 2627755

Naomba mbinu za kubadili jina mkuu, nilijaribu nikashindwa nipo serious.

Bahlabane ba ntwa
 
Siku zote mfa maji haachi kutapatapa.
 
Katika mazingira ya kusoma o level ushakutana na yule mwanafunzi form 1 aligonga grade A, form two grade A, form 3 grade A.....afu form four akapata zerooo...zile "A" Zinakuwa hazina maana Tena.....
Na hiki ndicho kinachoenda kuwakuta utopolo

Naaam
 
Back
Top Bottom