Mabingwa watetezi kunako ligi kuu Tanzania bars(NBC PL) watashuka dimbani leo saa moja usiku kupepetana na walima zabibu kutoka Dodoma. Je nani kuibuka na ushindi?
Simba 1 - 0 Singida Black Stars (⚽ MUKWALA 42' )
LIGI: NBC premier League ⚽🏆
Game: Simba SC v/s Singida Black Stars SC
Tarehe: 28-05-2025
Uwanja: KMC Complex
Muda: Saa kumi jioni
ni mechi ya...
Mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco katika hatua ya 16 Bora ya AFCON 2025 unapigwa leo Januari 4, 2026, katika Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Rabat, Morocco. Huu ni mchezo wa kihistoria kwa...
Yaani kabisa GENTAMYCINE niseme jambo la Kiuchambuzi wa Kina ambalo nina uhakika nalo 100% lisitimie?
Nilishasema tumeshatoka CAFCL Kitambo tu hivyo tujikite zaidi na kupambana katika NBC Premier...
Shalom shalom wana simba
Hii mechi yetu itakuwa ngumu sana kuliko wenzetu wa jana
Hivyo ombi langu kwa mungu tujiandae kisaikolojia na msingi wa mawazo tusipate afya ya akili ghafla..
Wakati...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal Pape Thiaw ameomba radhi mashabiki wa soka baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mataifa Barani Afrika (AFCON) kumalizika wakiibuka mabingwa.
"Hatukukubali...
Ushahidi unaonyesha kwamba kazi wanayoifanya wanapokuwa makocha wa muda inalenga kushawishi viongozi wawape mikataba ya kudumu .
Santiago Solari ni mfano halisi wa andiko hili , hata huyu Ole...
25 January 2026
Amaan Stadium
Zanzibar Tanzania
MICHUANO KOMBE LA CAF SHIRIKISHO 2025 / 2026
Singida Black Stars SBS 1 - 0 Otôho d'Oyo ASO
Singida Black Stars SBS Timu ya Tanzania leo...
Kila la kheri Jean Charles Ahoua mr Top Scorer
Yapo mengi utayakumbuka kuhusu ligi kuu Tanzania
Yapo mengi utayahadithia kuhusu Boli la Tanzania
Ila kuondoka bila Tuzo Yako,Kuondoka bila...
Yani mwenzenu ni mesuka mkeka Multbet yangu safi timu sita Arsenal vs Psg nikampa Arsenal, Barcelona vs Young boys nikampa Barcelona, inter Milan nikampa kushinda Leverkusen naye nikampa kushinda...
25 January 2026
Nairobi, Kenya
Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola
https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s
Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea...
Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8
Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama...
Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking.
Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali...
Dah huyu jamaa nmfananisha na Nabii Lema
Kila kinachongelewa nae kinatokea
Majuzi kabla ya mechi aliulizwa vipi mnaenda kutoa utamu 🇹🇳
Jibu zuri kabisa utamu mpaka ufungwe mara 2...mara 3 sio...