Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Baada ya Sisco kushindikana katika madraft Tanzania nzima , leo saa 5 usiku Kuna pambano EXCLUSIVE Timu: Mkulima Vs Sisco(Confirmed ) Mdhamini: Boss Java Zawadi: 60,000 (Sisco anatakiwa azuie...
21 Reactions
690 Replies
49K Views
Game itakuwa ngumu kipindi cha kwanza cha pili yanga watatawala mpakamwisho ushauri yanga washambulie mwanzo mwisho wasijilinde 2-1 2-0 1-0 all d best yanga
1 Reactions
2 Replies
150 Views
Anasema mchezaji mmoja wa Mashujaa ambaye ni mmoja ya Walinzi. Masaa kadhaa kabla ya kucheza na Yanga walikuwa wamekutana na uongozi wa wao na wa Yanga. GSM aliingia ufadhili nao na hivyo baada...
5 Reactions
10 Replies
330 Views
Yanga tuna akili. Ule uwanja wa Mkapa tuliuenyea. Simba hawezi pata matokeo Chanya na baada ya kuunyea tukahamia Zanzibar. Tulihamia Zanzibar sababu Uwanja wa Mkapa tumeuharibu. Haufai hata...
1 Reactions
4 Replies
404 Views
Katika Ziara ya Kikazi ya Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer chini China alipokutana na Mwenyeji wake Rais wa China Xi Jinping amempa Mpira Uliotumika kwenye Mechi ya Ligi kuu kati ya Arsenal...
3 Reactions
14 Replies
626 Views
Ni furaha yangu kuona timu ambazo hazithamini damu za mashabiki wao waliouawa kwenye mauaji ya kimbari ya mwishoni mwa mwezi Oktoba zikifingwa. Hamna timu ilituma salamu za rambirambi kwa...
9 Reactions
14 Replies
265 Views
GT Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome. Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata...
8 Reactions
15 Replies
518 Views
Mechi kali Wikiendi hii Januari 31 na Februari 1, 2026 Jumamosi Leeds Vs Arsenal- Saa 12:00 Jioni ( Elland Road) Chelsea Vs West Ham -saa 2:30 Usiku ( Stamford Bridge) Liverpool Vs Newcastle-...
1 Reactions
2 Replies
662 Views
A public clash between Uganda' s Football president (FUFA) Engineer Moses Magogo and Sports Minister Peter Ogwang over AFCON 2027 budgeting has exposed a deeper power struggle in Uganda’s sports...
1 Reactions
0 Replies
281 Views
Last night’s Champions League fixture will go down as one of the most dramatic -and controversial -nights in modern European football as one of the European Giants Real Madrid fails to go through...
1 Reactions
10 Replies
491 Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya...
1 Reactions
2 Replies
657 Views
Wakuu wa hili jukwaa, haswa wale wakongwe katika soka, mje mtujuze nani alikuwa bora haswaa katika eneo la golikipa kati ya golikipa wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Peter Manyika na mlinda...
1 Reactions
74 Replies
14K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, Dar es Salaam kutokana na miundombinu ya uwanja huo kutokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu.
1 Reactions
4 Replies
260 Views
Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi. Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya...
3 Reactions
5 Replies
390 Views
Ngojeni leo niwasanueni Mashabiki Wapumbavu na Washamba wa Timu yangu pendwa ya Simba SC kwa msilolijua. Ukweli ni kwamba huu Usajili wa mfululizo mnaouona unafanywa / umefanyika ni wa Kimkakati...
2 Reactions
11 Replies
332 Views
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) na Young Africans , Peter Manyika amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospital ya St. Monica ya Jijini Dar es Salaam. Manyika aliyewahi...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Kama we ni mkali wa kucheza DLS football game la simu njoo tuzichape, niko bored huku kijijini.
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Hii ni zaidi ya dharau Team haina map inatia kichefuchefu
7 Reactions
79 Replies
2K Views
Times Fm ni redio ya michezo siku nzima, sasa katika hali isiyo ya kawaida leo wanapiga kile kibao cha Ubongo Kids kinachokwenda kwa jina la "Sifuri ni nini". Huu wimbo mbona hauhusiani na...
3 Reactions
9 Replies
478 Views
Back
Top Bottom