Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Uongozi wa Manchester United unatarajia kuongeza ulinzi katika mchezo ujao dhidi ya Copenhagen katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kwenye Uwanja wa Old Trafford ili kudhibiti mashabiki wanaodaiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Morocco 2. DR Congo 3. Zambia Kwanini? Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi. Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Leo baada ya kuona mzungu wa Simba baada ya kuona anaandamwa sana mtandaoni mimi naona huu ni ubaguzi wa wazi wazi[emoji23][emoji23][emoji23] Hizi Ni baadhi ya picha za mzungu wa Simba...
9 Reactions
257 Replies
27K Views
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, naomba kujuzwa hii game itaonyeshwa? Kama ndio naomba kujuzwa chanel itakayoonyeshwa.. Niwatakie mapumziko mema ya week end.
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger ni moja ya wageni watakaokuja Tanzania katika ufunguzi wa Mashindano ya African Football League Oktoba 20. Wenger ambaye ni moja ya watu wa ufundi wa...
7 Reactions
17 Replies
4K Views
Klabu ya Simba leo hii imezindua jezi kwa ajili ya mashindano ya African Football League yanayotarajiwa kuanza 20/10/2023 na mechi ya ufunguzi itakuwa ni Simba SC vs National Al Ahly kwenye dimba...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Nyie mlidhani kwakuwa ni Mlevi na mvuta Bangi za Kwao Kinondoni Biafra, Kawe Kijiwe chake maarufu cha Unga Unga na Tandale Gereji wa Dula basi hajui Haki zake na Sheria hivyo mtamburuza tu...
8 Reactions
25 Replies
3K Views
Uongozi wa timu yetu umefikia makubaliano ya pande mbili ya kuvunja Mkataba na aliyekua Kocha wetu Mkuu Zuberi Katwila. Hata hivyo ongozi wa timu unamshukuru Kocha katwila kwa wakati wote aliokua...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
ASUBUHI ya Jana Simba imecheza mechi ya kirafiki dhidi ya Dar City kwenye uwanja wake wa Mo Simba Arena, Bunju - Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa mabao 5-1, huku kipa wake Aishi Manula...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya...
10 Reactions
56 Replies
5K Views
ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Sheikh Jassim ambaye ni mwekezaji kutoka Qatar alikuwa mmoja wa wawekezaji wawili waliosalia katika mpango wa kuinunua Manchester United amefuta mpango wake huo baada ya wamiliki wa klabu Familia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini TPBRC, imemfungia kwa muda wa mwaka mmoja bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo kufuatia kitendo chake kugomea kupanda ulingoni katika pambano...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Wakati Al Ahly yupo Austria akijiandaa na mtanange wa African Super League na Ligi ya Mambingwa Afrika, wawakilishi wetu hapa Tanzania katika michuano ya Kimataifa Simba na Yanga wapo bize...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wewe ndio kocha unataka uanze na viungo watatu, wachague hapa katika orodha hii.
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Galam galam, Katika thread hii tutapashana facts zilizo tokea katika viwanja mbalimbali vya michezo ama katika duru za michezo ulimwenguni. Ruhsa kwa yeyote kuwasilisha takwimu ama habari ya...
9 Reactions
4K Replies
192K Views
Mwamba msimu uliopita alifunga magoli mengi sana katika michuano yote mpaka tukambatiza jina la utani “JINI” Msimu huu imekuwa tofauti, Haaland ana struggle kiasi kikubwa sana. Huwezi amini...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimegundua watu wengi wana wivu mkubwa sana na Pep, hawataki kukubali. Wameshikilia msimamo wao kuwa anasajili wachezaji wazuri, hapohapo timu zao nao zinasajili wazuri lakini mafanikio hakuna...
14 Reactions
116 Replies
7K Views
Baada ya NewcastleUnited kufanikiwa kuondosha ManchesterCity katika Raundi ya Tatu ya CarabaoCup, timu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya ManchesterUnited katika...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…