Mechi ya Taifa Stars na Sudan inaoneshwa chaneli gani?

lui03152

JF-Expert Member
Nov 27, 2020
250
338
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza, naomba kujuzwa hii game itaonyeshwa? Kama ndio naomba kujuzwa chanel itakayoonyeshwa..

Niwatakie mapumziko mema ya week end.
 
😁😁😁 Nimecheki hapa naona darasa anatumbuiza
255 champion boy

Wasafi Wameboa

Najua jana walikuwepo Arusha.. ila siwezi enda mimi kushangaa kama chizi.
Nilitegemea niwakute leo wanarusha.. maajabu wanarusha vya Mtwara.
 
255 champion boy

Wasafi Wameboa

Najua jana walikuwepo Arusha.. ila siwezi enda mimi kushangaa kama chizi.
Nilitegemea niwakute leo wanarusha.. maajabu wanarusha vya Mtwara.
😁Mnaofuatiliaga haya mambo ya wasafi mna kazi sana!

Hv mnaoendaga kwenye haya matamasha hua mnaenjoy nn? Nliendaga fiesta Moja nlijuta sitakaaa nirudi
 
😁Mnaofuatiliaga haya mambo ya wasafi mna kazi sana!

Hv mnaoendaga kwenye haya matamasha hua mnaenjoy nn? Nliendaga fiesta Moja nlijuta sitakaaa nirudi
It depends.. kama sio mtu wa music nahisi huwezi kuwaelewa.

Mfano sahivi Tv haina cha maana mpk saa 3. So nabuy time wasafi

Siendi mimi… na ndio maana nimesema walikuwepo Arusha nikadhani watarusha kwa Tv leo.
 
255 champion boy

Wasafi Wameboa

Najua jana walikuwepo Arusha.. ila siwezi enda mimi kushangaa kama chizi.
Nilitegemea niwakute leo wanarusha.. maajabu wanarusha vya Mtwara.
Nilitazama Jana, hakuna kitu nachukia kama ulipishwe pesa ya kiingilio, kisha uanze kuimbishwa kama chizi, mara mikono juu, twende huku, siwasikii, sijui ruka ruka, vua shati, washa tochi, kheeeh'..!😂😂
 
Back
Top Bottom