Facts zilizotokea katika Viwanja mbalimbali vya michezo

Kwenye mechi yake ya kwanza ya ligi ya mabingwa Gio Reyna mwenye umri wa miaka 17, aliezaliwa Sunderland, anatengeneza pasi ya goli na kumpasia mfungaji Erling Håland mwenye miaka 19 mzaliwa wa Leeds.

Wawili hawa ni wazaliwa wa kaskazini mwa England.

Dortmund 2–1 PSG
 
Atlético Madrid hawajawahi kupoteza mchezo wowote wa hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa wakiwa nyumbani chini ya mwamba Diego el choro Simeone. 🙌

A3A40CCF-987F-41CA-8EE3-F9FB63E69B94.jpeg
 
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️
⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️⚽️

Mpaka sasa Erling Håland Amefunga magoli 39 kwenye mashindano yoote kwa vilabu viwilli alivyochezea msimu huu...🌧
 
Katika magoli aliofunga Erling Håland kwenye ligi ya mabingwa msimu huu...

• amefunga kwa mguu wa kushoto
• Amefunga kwa mguu wa kulia
• amefunga kwa kichwa
• Amefunga ndani ya box
• amefunga nje ya box
• amefunga kwa mkwaju wa penati
• amefunga pia kwenye counter-attack

Sasa tunasubiri afunge kwa free-kicks
 
Back
Top Bottom