Mtawaficha wote ila siyo GENTAMYCINE, haya Tangazeni upesi kuwa na Kipa wenu Mnata mmemuadhibu kama mlivyomuadhibu Mkude

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani.

Na taarifa ya uhakika niliyonayo GENTAMYCINE ni kwamba Kipa Mnata na Kiungo Mkude ambao kwa pamoja walipewa Mkataba wa mwaka Mmoja Mmoja ukiisha hawatoongezewa tena na Shughuli yao itakuwa imeishia hapo kwa Kuichezea Yanga SC.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na wale Bloggers, Watangazaji wa Michezo na Wachambuzi chukueni na hii na tambeni nayo ila msisahau tu kutoa Credits Kwangu GENTAMYCINE na huu Mtandao wangu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Mtawaficha Wote ila siyo Mimi sawa? Makipa walioko Kambini sasa ni Djigui Diarra, Abdultwalib Mshery na Yule Dogo wa Team B tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
By the way Jonas Mkude anaendelea na mazoezi na wenzake.

Aliyewadanganya kuwa kafungiwa mwambieni awarudishie pesa zenu.

Tweet ya kwanza, Frame 4.

Screenshot_20231012_222630_X.jpg
 
Huyo hana umuhimu kama DJIGUI DIARRA.

Hata akiwekwa benchi miezi 9 kwa nidhamu haiathiri kikosi.
Inahusiana vipi sasa na nyie Yanga SC Kuficha Taarifa yako kuwa mmempa Adhabu ( ya ndani kwa ndani ) kwa Kumfungia Yeye na Mwenzake Jonas Mkude?

Hamna Akili.
 
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani.

Na taarifa ya uhakika niliyonayo GENTAMYCINE ni kwamba Kipa Mnata na Kiungo Mkude ambao kwa pamoja walipewa Mkataba wa mwaka Mmoja Mmoja ukiisha hawatoongezewa tena na Shughuli yao itakuwa imeishia hapo kwa Kuichezea Yanga SC.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na wale Bloggers, Watangazaji wa Michezo na Wachambuzi chukueni na hii na tambeni nayo ila msisahau tu kutoa Credits Kwangu GENTAMYCINE na huu Mtandao wangu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Mtawaficha Wote ila siyo Mimi sawa? Makipa walioko Kambini sasa ni Djigui Diarra, Abdultwalib Mshery na Yule Dogo wa Team B tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Adhabu kwa wachezaji wakikosea ni kitu cha kawaida na kwa yanga kwa nidhamu hawana mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
adhabu kwa wachezaji wakikosea ni kitu cha kawaida na kwa yanga kwa nidhamu hawana mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaficha nini Kutangaza ili ijulikane wakati Wachezaji husika hawafanyi Mazoezi na Wenzao hivyo kuleta Sintofahamu kwa Mashabiki wenu?

Si huwa mnasema Nadanganya? Haya ipingeni / ikataeni basi na hii Taarifa yangu. Kudadadeki zenu...!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani.

Na taarifa ya uhakika niliyonayo GENTAMYCINE ni kwamba Kipa Mnata na Kiungo Mkude ambao kwa pamoja walipewa Mkataba wa mwaka Mmoja Mmoja ukiisha hawatoongezewa tena na Shughuli yao itakuwa imeishia hapo kwa Kuichezea Yanga SC.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na wale Bloggers, Watangazaji wa Michezo na Wachambuzi chukueni na hii na tambeni nayo ila msisahau tu kutoa Credits Kwangu GENTAMYCINE na huu Mtandao wangu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Mtawaficha Wote ila siyo Mimi sawa? Makipa walioko Kambini sasa ni Djigui Diarra, Abdultwalib Mshery na Yule Dogo wa Team B tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Adhabu inapotolewa ni kati ya mwajiri na mwajiriwa sasa wewe ulitaka Yanga wamtangazie nani? Hayo mambo ya usela yapo kwenye timu yenu huko.
 
Walipewa muda wa Udhuru wao na kutakiwa Kurejea Kambini Wao kwa Ujeuri ( Kipa Metacha Mnata na Kiungo Jonas Mkude ) wakarudi muda walioutaka Wao na Kocha Gamondi akawafukuza na kutowahitaji katika Kikosi chake na hatimaye Uongozi kuamua Kuwaadhibu ndani kwa ndani.

Na taarifa ya uhakika niliyonayo GENTAMYCINE ni kwamba Kipa Mnata na Kiungo Mkude ambao kwa pamoja walipewa Mkataba wa mwaka Mmoja Mmoja ukiisha hawatoongezewa tena na Shughuli yao itakuwa imeishia hapo kwa Kuichezea Yanga SC.

Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa JamiiForums akina Ricardo Momo, Edo Kumwembe na wale Bloggers, Watangazaji wa Michezo na Wachambuzi chukueni na hii na tambeni nayo ila msisahau tu kutoa Credits Kwangu GENTAMYCINE na huu Mtandao wangu pendwa na tukuka wa JamiiForums sawa?

Mtawaficha Wote ila siyo Mimi sawa? Makipa walioko Kambini sasa ni Djigui Diarra, Abdultwalib Mshery na Yule Dogo wa Team B tu.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Pamoja sana mdau popoma
 
Rubbish absolutely rubbish
 
Back
Top Bottom