Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ili kuleta msisimko zaidi ya mechi hiyo ingependeza refa awe mwanaume, maana hii ni zaidi ya mechi hapa Bongo. Iko wazi wenzetu jisia ya kike hawawezi kuhimili mikimiki ya mechi ngumu kama hizi...
3 Reactions
11 Replies
727 Views
Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili. Kwa Chama...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Semaji la Simba kaongea maneno ya mpira, Yanga wako vizuri sana sasa hivi na sio ajabu uwezo wao dimbani wakiongezea na mambo yao ya nje ukifanya masihara lazima ukae. Namshauri sana kocha wangu...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi Macho na masikio ya wapenzi wa soccer...
7 Reactions
73 Replies
3K Views
Nimeona baadhi ya watu wakiushambulia Ukuta wa Yericko (electrical Fence) bila kujali/kuangalia kipa anafungwa magoli ya namna gani Bali mashabiki wanapaza sauti tu kila wanapoona timu yao ya...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Ficheni tu na kaeni Kushadadia / Kushupalia ya Phiri na Robetinyo wakati kumbe hata Kwenu Skudu na Gamondi haziivi na tabasamu mnaloona wanawapeni ni la Kinafiki na Kuwazugeni tu. Halafu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
TANGU MWANZO WA HAYA MASHINDANO NILISEMA, SIMBA OUT, MAZEMBE OUT, PETRO LUANDA OUT, NA ENYIMBA OUT WATU MKABISHA VIPI BADO TIMU GANI HADI SASA?[emoji848] "Mechi nne za kimataifa hujashinda hats...
9 Reactions
33 Replies
3K Views
Huwa inashangaza sana kuona baadhi ya vilabu vya ukanda wa Afrika Mashariki kama FC Leopards, Azam, Gor mahia sijui Simba, APR n.k kuthubutu kujilinganisha na Yanga ambayo imepiga hatua kubwa...
10 Reactions
49 Replies
3K Views
Ni maajabu, ama kweli ni maajabu ya 8 ya Dunia hii, na maajabu hayo si mengine bali ni maajabu yanayofanywa na timu ya wazee na vikongwe ya Simba Sports Club na uongozi wake. Wameleta ubahili wao...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu, Jana ilikuwa siku muhimu sana katika Historia ya Soka la Tanzania na Africa kwa ujumla baada ya Ufunguzi wa African Football League katika Uwanja wa Benjamin william...
13 Reactions
68 Replies
6K Views
Msimlaumu Robetinho, hakuna kocha asiyependa kumpanga mchezaji mzuri. kocha anapewa maelekezo anapangiwa kikosi kuna baadhi ya viongozi wana bifu na phiri. Phiri anakomolewa na Viongozi na ni...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Salaam wakuu. Mshikemshike wa ligi ya NBC PL kuendelea leo ambapo mnyama mkali na mafundi kandanda Simba sc a.k.a WANALUNYASI watakipiga dhidi ya timu ngumu ya IHEFU FC kutoka Mbeya. Simba...
9 Reactions
386 Replies
28K Views
Klabu ya Simba ambayo ni mwenyeji katika mchezo wake wa wikend hii dhidi ya Yanga imemtangaza Kibu Dennis kama mgeni rasmi wa mchezo huo. Hili ndio soka letu sasa kivyetuvyetu.
9 Reactions
35 Replies
5K Views
"Tunajua mnachukia ila nasi pia hatuna la kufanya kwani tumevumilia na sasa tumeamua kufikisha Malalamiko yetu kwa Vitendo" "Kocha wetu Mbrazili Roberto Oliveira ni Mbaguzi, ana Matusi halafu...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Chukulia vikosi vote katika ubora wake, Man Utd iliyoshinda Uefa Champions League 2008 Vs Man City iliyoshinda UCL 2023 nani angeibuka na ushindi?
0 Reactions
3 Replies
681 Views
Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba...
3 Reactions
2 Replies
875 Views
Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna...
0 Reactions
1 Replies
456 Views
Huyu jamaa ni hasara sana na sijui kwa nini ameaniwa kupewa timu huku utopolo umejaa kichwani. Azam haiwezi kufika popote iwapo timu ipo kwa ajili ya kushindana na Simba tu. Timu lazima iwe na...
3 Reactions
6 Replies
833 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…