Pamoja na kupigwa mkono wa nyani bado nina imani na wachezaji na benchi la ufundi. Kufungwa ni moja ya matokeo ya mchezo ingawa inauma kupigwa mkono wa nyani na yanga.
Tuendelee kuwaamini...
Salamu ya mjini sasa ni HAMSA
Aisee katika watanzania 10 ninaokutana nao 8 wamevaa jezi,za msimu uliopita au msimu huu,katika watu 100 ninaokutana nao mtu mmoja tu kavaa jezi ya simba,na...
Na hakuna asiejua kwamba hizi timu mbili zote simba na yanga zina kamati maalum za wataalam wa mambo ya kiroho ila simba huwa inafanya wazi.
Tetesi zilizopo ni kwamba katika marekebisho ya...
Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika...
[emoji288] African Football Power Rankings [emoji471][emoji460]
[emoji409] We've crunched the numbers and ranked the top 10 African football teams based on their outstanding performances from...
Nilichokiona baada ya kuangalia marudio
1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi.
2. Goli la pili la Yanga...
Wachambuzi wetu ni wadau muhimu kwenye mpira wetu, lakini Kuna wakati hawautendei haki mpira wenyewe kwasababu zisizojulikana au ushabiki wa timu.
Simba Day umati wa mashabiki ulifurika uwanja wa...
Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya...
Habari za kushinda wana wa jf,
Bila kuwachosha niwaulize moja kwa mojaaa wengi katika masuala ya kubeti huwa mnampania kummpiga kanji hii haitegemei na kampuni.
Bali kila mtu mara muhindi kanila...
USAJILI Kiungo/Beki wa Yanga mkongomani Yannick Bangala Litombo amesema wazi wazi ana asilimia 20% tu za kubaki Yanga. Naishia hapa nakuachia wewe mdau unateseka ukiwa wapi na hizi taarifa za...
Amechambua @edokumwembe
Ngoja nilete uchambuzi wangu uchwara kuhusu pambano la Simba na Yanga, hasa mabao yote matano ya Yanga. Mabao yao yote yalitokana na kuwa juu kiutimamu wa kimwili na...
Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli.
Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho.
Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda...
Tualiambiwa ni moja ya kuta bora sana hapa nchini hata ulipue kwa ICBM za Korea ya kiduku haubomoki.
Lakini maajabu kila mechi risasi za gobole zilipita lakini Bado uliitwa ukuta imara kwani...
1. Feisal
Maneno ya watu:
Yanga kwisha habari yake, hawapati kiungo kama Fei toto.
2. Mayele.
Maneno ya watu:
Huu sasa ndio mwisho wa utopolo, aliyekuwa anawabeba kaamua kusepa. This time...
Baaada ya Derby ya Leo Mheshimiwa Rais wa Nchi Samia suluhu hassan ametoa pongezi zake kwa Team ya Yanga kwa ushindi Mkubwa.
Hii ni kupitia Account yake ya Mtandao wa (x)
Alikua Mbowe siku ya...
Wanatufundisha:
1. To let it go/ To let them go.
2. Tusishikilie au kun'gan'gania kitu kinacho taka kuondoka kwenye maisha yetu. Kama kuna kitu au mtu anataka kuondoka kwenye maisha yako basi...
[emoji1593]Yanga SC wamecheza mechi ya ubora wa hali ya juu, walichofanya Yanga ni kutafsiri nini maana ya Football, ambayo ni: Time and Space.
[emoji1593]Timu zote mbili kuna mahala ambapo...
Baada ya kichapo tena cha mbwa koko aliyekula mboga ya mchana kutoka kwa mahasimu wetu wa "mabonde kuinama "kwenye mafuriko. Kama mshabiki, mnazi, mkereketwa ninashauri yafuatayo:
1.TATHMINI...
Wanasimba Poleni. Ni msiba.
Hata Al ahly walipaswa kuwafunga hivi
Tuliwaonya tangu na Kabla na huyu mzee wa Objective football.
How could it be so possible
Chama Out
Baleka out
Kibu out...
SIMBA kwa sasa hawana raha. Wanachama na wapenzi wa klabu hiyo na hata baadhi ya viongozi wanatamani wamteme Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanaona kama anawazingua kwa sasa.
Ni kweli timu...