Kinachoendelea ndani ya klabu ya Yanga ni huruma

political monger senior

JF-Expert Member
Nov 26, 2020
1,801
5,788
USAJILI Kiungo/Beki wa Yanga mkongomani Yannick Bangala Litombo amesema wazi wazi ana asilimia 20% tu za kubaki Yanga. Naishia hapa nakuachia wewe mdau unateseka ukiwa wapi na hizi taarifa za wachezaji wenu kuanza kusepa?..BANGALA ATHIBITISHA KUONDOKA YANGA.

Baada ya Kocha Nasredinne Nabbi Kuondoka Yanga na inataarifiwa kuwa Tayari ameshasaini Kaizer Chief ya Afrika Ya Kusini.

Kocha Nabi anataka Kuwasajili baadhi ya Wachezaji Ambao alikuwa nao ndani ya Klabu hio ya Yanga aende nao Kaizer.

Yanick Bangala ni moja ya Wachezaji wanaoitajika na Kocha Nabi na ana Mkataba Wa Mwaka Mmoja.

Tayari Kaizer Chief wamewatumia Barua Yanga kwa ajili ya Kutaka Saini ya Kiungo huyo Yanick Bangala.

Inatajwa Bangala Yupo Tayari Kukubali Ofa Hio na Muda wowote atatuma Barua ya Kutaka Kuvunja Mkataba Wake na Yanga Kama Yanga wakigomea Ofa ya Kaizer Chief .

Kwenye Mahojiano aliyofanya Bangala Siku za Hivi Karibuni Amesema ana Asilimia 20 ya Kubaki Yanga na Asilimia 80 ya Kuondoka.

Kaizer inampango wa Kuwasajili Wachezaji Wanne Kutoka Klabu Ya Yanga.

#YangaSC #YannickBangala

1686912978962.jpg
 
Project "Ndombolo ya Solo" imefikia ukingoni. Kuna kipindi nilitamani Bangala aje Simba ila sijavutiwa na kiwango chake miezi ya mwishoni mwa msimu.

Yanga walipatia sana jinsi walivyosuka kikosi chao. Kuwachukua wacongo ambao wengi walikuwa wanajuana na walishapata mafanikio pamoja, kuongezea wachezaji wengine wachache lakini wanaoongea kifaransa kama Diarra, kocha Nabi aliyekuwa tayari na experience Congo na kocha msaidizi Mcongo anayejua Kiswahili, Kifaransa, Kiarabu, Kiingereza na Kilingala.

Kuondoka kwa Nabi kumevuruga huu mpango ndiyo maana unaona huu mvurugano.
 
#USAJILI Kiungo/Beki wa Yanga mkongomani Yannick Bangala Litombo amesema wazi wazi ana asilimia 20% tu za kubaki Yanga. Naishia hapa nakuachia wewe mdau unateseka ukiwa wapi na hizi taarifa za wachezaji wenu kuanza kusepa?..BANGALA ATHIBITISHA KUONDOKA YANGA.

Baada ya Kocha Nasredinne Nabbi Kuondoka Yanga na inataarifiwa kuwa Tayari ameshasaini Kaizer Chief ya Afrika Ya Kusini.

Kocha Nabi anataka Kuwasajili baadhi ya Wachezaji Ambao alikuwa nao ndani ya Klabu hio ya Yanga aende nao Kaizer.

Yanick Bangala ni moja ya Wachezaji wanaoitajika na Kocha Nabi na ana Mkataba Wa Mwaka Mmoja.

Tayari Kaizer Chief wamewatumia Barua Yanga kwa ajili ya Kutaka Saini ya Kiungo huyo Yanick Bangala.

Inatajwa Bangala Yupo Tayari Kukubali Ofa Hio na Muda wowote atatuma Barua ya Kutaka Kuvunja Mkataba Wake na Yanga Kama Yanga wakigomea Ofa ya Kaizer Chief .

Kwenye Mahojiano aliyofanya Bangala Siku za Hivi Karibuni Amesema ana Asilimia 20 ya Kubaki Yanga na Asilimia 80 ya Kuondoka.

Kaizer inampango wa Kuwasajili Wachezaji Wanne Kutoka Klabu Ya Yanga.

#YangaSC #YannickBangalaView attachment 2659602
Kwa hiyo wana viwango vya kuuzika? Hiyo huruma unayoiongelea ni ipi?
Au haujai kwamba mauzo ya wachezaji ni sehemu ya mipango ya club kujiingizia hela na kujitangaza?
 
Msitutishe kama fweza tunayo na kwa hasira Makolo hesabuni miaka 5 bado ya mafanikio kama msimu huu,ubingwa NBC sahauni kwa kipindi chote hicho🏃🏃
Kwa hii ondoka ondoka ya mutu ya Congo, hamchukui hata kikombe cha chai msimu ujao.
 
Msitutishe kama fweza tunayo na kwa hasira Makolo hesabuni miaka 5 bado ya mafanikio kama msimu huu,ubingwa NBC sahauni kwa kipindi chote hicho
Watanzania bwana! Hivi wewe unayo pesa ya kutunishiana misuli na mikina ahly yakitaka mcheza wako au mkitaka mchezaji wao na nyie???

Kwanza any player kwa Africa lazima awish kucheza pale(I mean kwa ndani ya Africa) kwasababu hawachezi misimu miwili isipokuwa wameshinda Caf CL...

Nyie simba na yanga mnapesa ya kumyanyasa KMC na mtibwa pekee yake ndugu zetu sio kwa duniani huko....kwanza it's obvious I can claim kuwa team zote hapa bongo zina run kwa hasara!

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom