George Ambangile: This is football heritage

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,838
38,730
Yanga SC wamecheza mechi ya ubora wa hali ya juu, walichofanya Yanga ni kutafsiri nini maana ya Football, ambayo ni: Time and Space.

Timu zote mbili kuna mahala ambapo walikuwa wanajinyonga hasa kulingana na tafsiri ya football niliyokuambia (Time and Space na hapa shikilia hili la Space).

1: Yanga na Simba wote walikuwa wanafinyia ndani sana (narrow shape) wakiwa na mpira na bila mpira, maana yake?

2: Space inakuwa pembeni ya uwanja na muda unapata wa kutosha, maana yake timu yoyote ambayo ingetumia space hiyo ya wazi kwa ufanisi basi watasherekea sana na hata ukiangalia actions nyingi hatari zilitokea pembeni pasi zikipigwa huko.

Kitu ambacho Yanga waliwaangamizia Simba ni space na time: viungo wa Yanga, mabeki wa Yanga, na viungo washambuliaji wa Yanga walikuwa wanapata space kubwa na muda wa kutosha wakiwa na mpira kwanini?

1: Inatokana na Yanga wenyewe (Positions za fullbacks wao na viungo wao washambuliaji zilikuwa ngumu sana kwa Simba kuwakabili).

2: Fullbacks wanapanda kuwaruhusu attacking trios (Aziz Pacome na Maxi) kuungana between the lines: hatari.

3: Sababu nyingine ni Simba wenyewe, wanachelewa kwenye mpira haraka, watu wa mbele wanatembea, wanaacha kazi ya ulinzi kwa Ngoma na Kanoute maana yake hata Malone na Inonga kazi inakuwa kubwa kwao.

Kiufupi tu leo Yanga wameonesha utawala wa kimbinu na kiufundi: Masterclass!

NOTE
1: Kibu D anatoka uwanjani akiwa na utetezi lakini wenzake je (hasa viungo wenzake wa juu Chama, Saido)?

2: Through balls za Aziz Ki zimewavuruga sana Simba.

3: Maxi ni elusive, ngumu kumkabili anaibuka kila mahala.

4: Impact ya Mzize runs zake.

5: Pacome, technically so good.

6: Aishi anatamani hata asingerudi leo.

7: Tano nyingine.

FT: Simba SC 1-5 Yanga SC
 
JamiiForums-539638265.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom