Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Sorry mwalimu wa medeame wewe sio wakwanza kufukuzwa baada ya kufungwa na yanga Nikumbushe mwalimu mwingine aliefukuzwa baada ta kufungwa na yanga[emoji116][emoji116] Mwingine ni robertinho Toka...
2 Reactions
2 Replies
501 Views
Uwanja huo ambao gharama yake kwa mechi moja ni milioni 5.9 kwa siku sisi hatuutaki na ndio maana hatukwenda kwa wingi uwanjani, na mkiendelea kutumia uwanja huo hata nafasi ya nne hamshiki msimu huu.
1 Reactions
5 Replies
555 Views
Ikicheza mchezo wake wa 18 katika Premier League msimu huu wa 2023/24, Manchester United imepoteza kwa magoli 2-0 dhidi ya West Ham United, ikiwa ni mchezo wa 8 kupoteza katika Ligi hiyo. United...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuelekea Mechi ya chelsea na Man utd siku ya jumapili hutawaliwa na sayari ya jua na nyota yake ni ya simba,ilhali tarehe 16/04 hutawaliwa na nyota ya kondoo Chelsea man utd...
21 Reactions
99 Replies
41K Views
Habari wakuu Clatous chota chama ameifanyia simba makubwa sana kwa misimu kadhaa nyuma ila imefika wakati simba tunapaswa kuachana nae na kuangalia maisha mengine. Yanga waliachana na Saido...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Kutokana na Sheria kutoruhusu vilabu viwili tofauti vyenye mmiliki mmoja kushiriki michuano hiyo. Kazi kwao kuchagua aende Nani abaki nani. ? Angalizo : Vipi kuhusu RB SALZBURG na RB LEIPZIG...
0 Reactions
1 Replies
520 Views
Imefahamika kuwa mabosi wa Simba SC wapo kwenye mazungumzo na winga wa klabu ya Sporting Lagos ya Nigeria, Jonathan Alukwu kufuatia maagizo ya kocha mkuu wa timu hiyo, Abdelhak Benchikha katika...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunajua tunachokifanya kwenye program za Watoto ndo maana tunatumia Watoto kweli kwenye mechi zetu Hatuangaliii matokeo ya leo tunaangalia faida kubwa ya baadae kupitia Watoto hawa Hatutaki...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Nani mwene link ya kutazama mapambano haya live, nliwauliza Azam kwanini wanaonesha mipira ya nje na sio boxing, hawakunipa jibu la kuridhisha
1 Reactions
8 Replies
724 Views
Timu za kariakoo (Simba sc na Yanga Sc) Hawa mapacha huwa wanakasumba sana haswa Hawa viongozi wanapoulizwa kuhusu suala la masilahi. Nimemshuhudia Chama (kipenzi Cha mashabiki) akicheza mpira...
7 Reactions
95 Replies
5K Views
Jina lake kwa sasa ni kubwa kwenye Ulimwengu wa Soka na anatajwa takribani kila wiki, amecheza soka Hispania, Ufaransa, Scotland na England. Timu alizocheza Barcelona B Paris Saint-Germain...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙) Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings). β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029] β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga [emoji1241] β—Ž 7.9 -...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari ndio kama mlivyosikia .
3 Reactions
54 Replies
3K Views
Wakuu hii ni document kwenye website ya CAF imefafanua, hebu tuijadili hii sheria. Wydad amebakiza mechi 2 akishinda zote anakuwa na points 9 Simba amebakiza mechi mbili, akishinda 1 na draw moja...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Sisi ni people.....tutaonana huu ni msemo anaoutafakari mwamba wa Lusaka [emoji23][emoji23] Anajiuliza hii jeuri ya kunizingua kolos wameipata wapi....au wamena onana kabahatisha mechi na wydad...
7 Reactions
22 Replies
1K Views
Kuna vimaneno vimeanza kusambazwa na mbumbumbu kuanza kumfananisha Diarra na kipa wao Ayoubu Lakred! Anayeweza kuwalinganisha wawili hao kwa sasa kwa maana ni Kama unalinganisha kichuguu na...
8 Reactions
43 Replies
3K Views
Wydad’s boss Said Naciri is reportedly involved in international drug trade and money laundering. [emoji102] He’s currently picked up by the police being questioned. More updates to come...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
... [emoji599] | π—žπ—œπ—žπ—’π—¦π—œ 𝗕𝗒π—₯𝗔 (𝗖𝗔𝗙) Kikosi bora cha wiki cha ligi ya mabingwa Africa na performance yao (Ratings). β—Ž 8.2 - Memmich (GK) β€Ίβ€Ί Petro Atl [emoji1029] β—Ž 8.2 - Yao Kouassi β€Ίβ€Ί Yanga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…