Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

  • Redirect
WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema Serikali itaendelea kufunga taa katika barabara mbalimbali nchini ili kupunguza ajali za usiku na kuendana na kasi ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi...
0 Reactions
– Replies
– Views
NBA Ilianzishwa mnamo Juni 6, 1946, kama Chama cha Mpira wa Kikapu cha Amerika (BAA), ilipitisha jina la NBA mnamo 1949 baada ya kuunganishwa na Ligi pinzani ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL)...
6 Reactions
78 Replies
3K Views
Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Adhabu ilipotolewa mkaja na Propaganda ya Kujenga Bondeni Mafurikoni kwenu ili muwazuge Mashabiki wenu Mbumbumbu na kweli wakawaamini japo naona Siku hizi wapo baadhi wanaanza kuwa na Akili...
1 Reactions
6 Replies
257 Views
Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya miaka mingi ya kutawala soka la England, Pep Guardiola ameondoka Manchester City. Habari hii inaweza kuonekana kama mwisho wa enzi moja, lakini pia inaweza kuwa mwanzo wa enzi nyingine...
5 Reactions
12 Replies
329 Views
Wakuu mida hii kuna fainal ya Europa League Ni kati ya Freiburg Vs Aston Villa Kocha wa Villa, Unai Emery ndio fundi wa kubeba ndoo hii, je leo atachukua tena akiwa na Villa?
3 Reactions
94 Replies
767 Views
Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie. Beto ataweka chuma tunamaliza mchezo.
4 Reactions
194 Replies
2K Views
Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026. Wakati Simba itaanza na Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa...
0 Reactions
4 Replies
973 Views
Guys inaonekana kalazimishwa kuja TZ.body language imekataa kabisa aha hanha ila sisi ndo tunashoboka hatari. Ukimwangalia yaani kama haelewi kinachoendelea endelea anabaki kushangaa shangaa...
8 Reactions
29 Replies
672 Views
Mtanange uko live Mamelodi wanaongoza 1-0. Kipindi Cha pili kinataka kuanza VAR haifanyi kazi. Refa anasema tukipige bila VAR, Mamelodi wanasema sawa, ila AS FAR RABAT wanasema hapana. VAR...
5 Reactions
14 Replies
396 Views
The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary. UEFA.com Kick-off is scheduled for...
1 Reactions
0 Replies
144 Views
Waingereza wa Bonyokwa safari yenu inaishia robo fainal
2 Reactions
3 Replies
109 Views
Rio Fernand kimeshasnza kumlamba huko, sisi tulimshauri akashupaza shingo. Mashirika ya haki za binadamu yamemulaumu kwa hatua yake ya kuitembelea Tanzania nchi ambayo imemwaga damu nyingi sana...
10 Reactions
17 Replies
605 Views
Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya...
5 Reactions
92 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Nani anaefaa kuwa mchezaji bora wa EPL msimu huu? Bruno au Rice?
1 Reactions
1 Replies
132 Views
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners. [1] Kukwepa magonjwa ya moyo. [2] Imeshindwa kutwaa...
51 Reactions
1K Replies
114K Views
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje? Ni upuuzi hata...
0 Reactions
4 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…