Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simbu, Geay na wanariadha wengine wa sasa na wa zamani mnajua jinsi gani shule ya sekondari Ilboru ilivyochangia mafanikio yenu kwa kuwaruhusu kufanya mazoezi kwenye uwanja wao. Uongozi wa shule...
1 Reactions
4 Replies
152 Views
Kutokana na Mvua kubwa kunyesha, Mechi ya Simba na Tabora iliyokuwa ichezwe leo, 14 Machi 2026 imeahirishwa hadi itakapopangiwa ratiba na bodi ya ligi Hayo yamesababishwa na uwanja kujaa maji na...
3 Reactions
16 Replies
557 Views
Hanscana ame-share mkeka wake alioliwa jana baada ya timu moja kuchana. Uzuri mkeka huu aliupost kabla ya mechi. Una maoni gani?
10 Reactions
228 Replies
6K Views
Hili swali tuulizane tushauriane Why Viongozi wa Yanga pia mjiulize na wapi mnakoseaga mpaka jamaa achezi??
1 Reactions
4 Replies
208 Views
Wakuu, Kombe la Dunia nimejulishwa ni mwezi wa 6 hapo lakini tofauti na miaka mingine kama 2010 au 2014 au 2018 ambapo miezi miwili au 3 kabla unaona kabisa kuna heka heka na shamrashamra lakini...
3 Reactions
11 Replies
406 Views
Yanga kama kawaida imeendeleza makali na kubaki kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons ya Mbeya Goli 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo Machi 12, 2026, hivyo...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
HAPO VIP! YANGA TOKEA DUNIA IUMBWE HAIJAWAHI KUINGIA TOP 10 ZA CAF KAMA TIMU BORA NA KUBWA BARANI AFRIKA. TIMU BORA NA KUBWA NDANI YA NCHI YA YAKE NA NJE YA NCHI YAKE NI TIMU AMBAYO INAFANYA...
6 Reactions
39 Replies
986 Views
Beki wa Yanga na timu ya taifa 'Taifa Stars', Dickson Job leo amefanyiwa upasuaji wa goti nchini Afrika Kusini. Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe leo, Machi 11, 2026 amesema kuwa upasuaji huo...
3 Reactions
11 Replies
379 Views
Matokeo: Singida Big Stars Goli: Mossi Ndumumwe 38 Simba SC Goli: Anicet Oura 07 Goli: Elie Mpanzu 85 📍 Uwanja wa Airtel, Singida Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram...
5 Reactions
30 Replies
952 Views
Mimi nilipata 756M, lakini hapa nilishinda mara kadhaa mfululizo, Nilianza kwa kushinda 6M nikaibetia yote nikashinda 37M nikaibetia yote nikashinda 109M nikaibetia yote nikashinda 756M...
3 Reactions
31 Replies
752 Views
Rais wa zamani wa Shirikisho la Soka la Jamhuri ya Congo, Jean-Guy Blaise Mayolas, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa dola milioni 1.1 za fedha za...
1 Reactions
3 Replies
219 Views
  • Featured
Donald Trump amesema ‘hajali’ iwapo timu ya taifa ya Iran itashriki katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, michuano itakayofanyika majira ya joto mwaka huu. Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakuna timu ambayo inataka mechi yake ya nyumbani ya Simba na Yanga ichezwe saa 8 mchana. Hakuna mdhamini wa timu ambae anapenda mechi ya timu inayoidhamini icheze mechi zake na simba na yanga saa...
0 Reactions
0 Replies
265 Views
NAONA KELELE ZA WATU OOH DEPU KASHIKA NA MKOONO LEO TUMEWEKA PICHA YA MWL KASHIKA NA MKONO BODI MMEKAAA MKADANGANYANA KUWAJADAA WANANCHI ATI TUMEWAFUNGIA WAAMUZI LILIKUWA GOLI KAMA.MMERUHUSU...
1 Reactions
3 Replies
371 Views
Klabu ya Yanga imeiandikia barua Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), kuomba ufafanuzi juu ya adhabu mbalimbali ambazo zimetolewa na kamati ya saa 72 juu Club hiyo. Akizungumza na Waandishi wa...
1 Reactions
12 Replies
533 Views
Uwekezaji wa Mohammed Dewji maarufu Mo Dewji ndani ya Klabu ya Simba ni moja ya hatua kubwa zilizobadili mwelekeo wa uendeshaji wa soka la Tanzania katika miaka ya hivi karibuni. Dhamira yake ya...
2 Reactions
6 Replies
330 Views
Kumekuwa na mjadala mkubwa miongoni mwa wadau wa soka nchini kuhusu uhusiano kati ya Young Africans Sports Club (Yanga) na Singida Black Stars, huku baadhi ya mashabiki wakieleza wasiwasi wao juu...
4 Reactions
17 Replies
614 Views
Sijui namwonaje huyu beki hatari wa Liverpool Ibrahim Konate. Yuko kishambashamba tu. Sura yake haileweki sijui ana huzunika ama analia. Jana kwenye UEFA aliifungia Liverpool goli kali la kichwa...
4 Reactions
17 Replies
795 Views
Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo...
5 Reactions
2 Replies
473 Views
Wazee wa mikeka habari. Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+) Naomba kujua kwa wazoefu. Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili...
5 Reactions
22 Replies
719 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…