Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameagiza Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kuhakikisha ofisi ya Rais wa shirikisho hilo inakabidhiwa kwa Hasheem Thabeet...
2 Reactions
10 Replies
670 Views
Kodi lazima ilipwe na watu wote wa dini zote, makabila yote na hata mashabiki wa timu zote. Inafahamika kuwa taifa la Tanzania limegawanyika kati ya wanaume na wanawake, wakristo na waislam na...
4 Reactions
21 Replies
492 Views
  • Poll Poll
Who do you think won AFCON 2025?
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Mechi ya Simba dhidi ya Tabora United inachezwa uwanja wa General Isamuhyo ===== Timu ya Simba imeichapa TRAUnited magoli 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Meja Jenerali...
2 Reactions
6 Replies
435 Views
Nimeona clip ya Kipa wa Yanga, Djigui Diarra akioneshea kidole cha kati cha mkono wake wa kushoto kuelekea kwa Waandishi wa Habari waliokuwa wakiwarekodi Wachezaji wa timu hiyo wakati wakielekea...
3 Reactions
11 Replies
810 Views
Klabu ya soka ya Pharco FC ya nchini Misri imetangaza kususia mashindano yote yanayoandaliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Uamuzi huo unakuja kufuatia malalamiko kuhusu uamuzi tata...
11 Reactions
16 Replies
756 Views
Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome Mechi imemalizika
5 Reactions
37 Replies
992 Views
Nimesikia kuwa Al Ahly na Pyramid wameshatupwa nje. Vilevile Mamelodi wametwangwa kichwa na Stade Malien. Je, kuna taarifa zaidi?
3 Reactions
6 Replies
313 Views
Thank you brother for saving us from the noise 😁 😁, how would we stand that Shame! Cc: Eronda Smart911
2 Reactions
1 Replies
134 Views
1. SIFA ZA WASHIRIKI 1. Mshiriki awe raia wa Tanzania. 2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022) 3. Awe amepitishwa...
23 Reactions
228 Replies
22K Views
Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman...
1 Reactions
37 Replies
1K Views
FIFA imeripotiwa kukataa pendekezo la Iran la kuhamisha mechi zake za Kombe la Dunia 2026 kutoka Marekani hadi Mexico. Ombi hilo limekuja baada ya Maofisa wa Iran kuibua wasiwasi wa kiusalama na...
3 Reactions
9 Replies
434 Views
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mashabiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Mabomu hayo yamepigwa baada ya kumalizika mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya...
4 Reactions
23 Replies
694 Views
Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020...
2 Reactions
4 Replies
453 Views
Hii n aibu sana kwa soka letu mnataka kutuaminisha waamuzi wanaungia na matokeo uwanjan Means kuna rushwa inaendelea soka letu Haiwezekani kila mechi jaman mnafungia wamuzi Hivi vikaoo mnalipwa...
2 Reactions
12 Replies
238 Views
Djigui Diara ni Golikipa Mzuri sana na bora pengine kuliko kipa yoyote wa kutoka nje kuwahi kuja kucheza hapa Tanzania, lakini pia ndiye kipa kutoka nje amekuwa na nidhamu mbovu kuliko ila amekuwa...
3 Reactions
16 Replies
537 Views
Hakuna mtu mwenye akili timamu ambae hajui kwamba TFF na Bodi ya ligi wana upogo kwenye kupanga ratiba za mechi, waamuzi na adhabu mbalimbali. Upogo wao huu haupangui matokeo ya ligi badala yake...
2 Reactions
12 Replies
341 Views
GUINEA YADAI KOMBE BAADA YA MOROCCO KUJIONDOA UWANJANI 1976 Shirikisho la Soka la Guinea limeitaka CAF kuhakiki Kombe la Mataifa ya Afrika la 1976, likidai kuwa taji hilo linafaa kutolewa kwa...
14 Reactions
12 Replies
465 Views
Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili jijini Dodoma kwa ajili ya kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara utakaochezwa March 21 kwenye Uwanja wa CCM Jamhuri, jijini...
2 Reactions
9 Replies
535 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…