Msimamizi Mkuu wa Digitali na Maudhui wa Yanga, Priva Abiud maarufu Privaldinho kupitia akaunti yake "X" amejisahau na kutumia picha ya Klabu ya Simba kwenye kuhamasisha mechi yao dhidi ya...
Nasemea kama shabiki mmoja wa Simba/ Yanga akiamua kuvaa jezi ya Mamelody/ AHLY Kisha polisi wakamkamata ikakichukuliwa picha. Mamelody/ahly hawawezi kuitumia picha hiyo kudai kuwa OUR FANS WERE...
Salaam wakuu.
Hivi sasa tunaona serikali na wadau mbalimbali wakitoa support kwa timu za mpira za simba na yanga kuelekea michezo yao ya robo fainali klabu bingwa barani afrika.
Inatokea media...
Katika soka kuna wachezaji wamebarikiwa sana vipaji vya aina yake. Kuna baadhi yao kwa vipaji hivyo wamekuwa ni wenye kujisifu na kuleta dharau kwa wenzao.
Leo tuwatambue wenye vipaji vikubwa na...
Nimeona Jana kauli ya Waziri kuwa hataruhusiwa Mtanzania kuingia uwanjani na jezi ya Team ambayo siyo ya Tanzania, Mfano Mtanzania anaeishabikia team ya Mamelod hataruhusiwa kwenda kushuhudia team...
Hii Yanga ya Manji 2016 Wachambuzi wengi walikuwa Bado vijijini kwao. Wengine walikuwa Bado wako shuleni. Wanaamini kwamba Yanga ndo iliyoanza kushangilia wageni. Hata Ahmed Ally anasema Uwekezaji...
Tangu kuanzishwa kwake Mwaka 1955, Mashindano haya yamejizolea umaarufu duniani kote.
UEFA CL, (Kabla ya mwaka 1992 yakijulikana kama European Cup.) Ni mashindano ya mpira wa miguu kwa wanaume...
Klabu ya Manchester United inafikiria kumpa kazi katika nafasi ya kocha mkuu, mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza Gareth Southgates.
Mmiliki mwenza wa klabu hio bwana Jim Ratcliffe, anaamini...
Nyota wa soka raia wa Brazil, Dani Alves anaweza kuachiwa huru kwa masharti kutoka jela kwa dhamana ya Euro Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.8) baada ya kutumikia takriban robo ya kifungo chake cha miaka...
Mh waziri (Ndubalo) huu siyo muda wa kutishia mashabiki wa Simba na Yanga Sc katika utani wao wa Jadi ulioota mizizi kwa miaka 80+ mpaka kwani utaonekena Kama Unawapangia namna ya kuishi.
NALIA...
Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome. Ally Kamwe anasema, "Kuhusu Pacome...
Pesa ambazo Rais anazitoa kwa wachezaji wanaolipwa mishahara ya mamilioni eti kwa kufunga GOLI zinatosha kujenga zahanati simiyu ndan ndan Huko.
Haingii akilini kumwaga pesa kwa watu wanalipwa...
Wanayanga hawataki kushindwa kwa chochote na Mnyama mkali mwituni.
"The Simba SC" a best soccer club in East and Central Africa, ikijitosa kumsajili Chama, huku team ya Yanga yenye maskani yake...
FOOTBALL RECORDS THAT ARE YET TO BE BROKEN
💥 Zidane Was never flaged offside in his career.
💥 Lahm (Bayern Munich defender) went one full season and half without committing a foul as a defender...
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa...
Kuna jambo ninaliona hapa kuhusu marufuku ya waziri Ndumbaro itakavyoshindwa kufaulu ni hivi.
Ikiwa watakao kagua passport za mashabiki wenye jezi sio askari wa uhamiaji bali ni FFU wale...