Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ukweli lazima usemwe Simba ni Timu mbovu tena Mbovu sana.Simba ni timu iliyofanya usajili wa hovyo huku ikijua inashiriki mashindano makubwa na magumu. Tatizo la SIMBA Viongozi wanaamini uchawi...
4 Reactions
11 Replies
725 Views
Furaha ya mashabiki wa Simba sc ipo mikononi mwa Mamelody Fc, hapa hakuna Tena uzalendo aliouzungumza waziri wa michezo Mashabiki wa Simba sc wanaomba Mamelody Fc washinde ili mzani ubalance...
0 Reactions
1 Replies
687 Views
Salam kwa JF member wote IKUMBUKWE *Sina upendeleo na klab yoyote *Si mtaalam sana wa mpira wa miguu *Naandika haya kwa mtizamo wangu kutokana na kufuatilia mpira wa miguu toka 2016 mpaka leo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga. https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/ Yanga wanazidi kuonesha...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Huyo mchezaji amekuwa akichomesha mara kwa mara. Kwani kocha anamwamini sana, INONGA ametucost.
3 Reactions
30 Replies
2K Views
"tuna kocha Bora na tuna wachezaji Bora Simba sc lazima itamtoa Al ahly na kuingia nusu Fainali" Ahmedy Ally Swali kikosi Bora kipo wapi? Ni kikosi hiki hiki kilichokua na migogoro na mashabiki...
11 Reactions
42 Replies
2K Views
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Habarini wanajukwaa la SPORTS. Mi mshabiki kindakindaki wa football.. Wazungu wanachotuzidi sisi wa Afrika ni kua Wazungu hua wanautafta ukweli na wakiupata hua wana ukubali ukweli huo...
8 Reactions
17 Replies
874 Views
Ili kuficha AIBU najua maombi ya mashabiki wa Simba leo ni kuona YANGA anafungwa. Na ikitokea Yanga kufungwa utawasikia maneno yao ya shobo na majigambo. Wanasimba ombeni sana tu Yanga afungwe...
1 Reactions
2 Replies
380 Views
Kuna Diarra kuna Baka kuna Aucho kuna Aziz K kuna Pacome na kuna Musonda na Guede yaani GENTAMYCINE nitaachaje Kuwashangilia na nimshangilie Nuksi Kapombe na Mpuuzi Onana? Kila la Kheri Yanga SC...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach My Take Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo...
7 Reactions
46 Replies
4K Views
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito. Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na...
11 Reactions
62 Replies
3K Views
Habar JF, Nilichokiona uwanja Wa Taifa Al Ahly asipeleke Timu Yaana anainda Kufungwa goal 4+ Simba sc wameimaliza hii Mechi Kikatili mno Al Ahly hawana cha kukwepa Zaidi Ya Kutoingia Uwanjani...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm 2019 Simba 0 TP Mazembe 0 2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0 2022 SIMBA 1 ORLANDO...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
9 Reactions
91 Replies
3K Views
Najua kocha anapenda kumtumia Saidoo ntibazonkiza kwa sababu ya profile yake lakini ukija kwenye pitch huyu Saidoo hakupi unachotaka. Kuna mchezaji Kama Miqson, kibu denis Hawa wanafaa kupewa...
0 Reactions
2 Replies
648 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…