NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,288
- 12,789
Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.
Umechanganyikiwa ukiwa na umri mdogo sanaUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
..Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.View attachment 2947790
Kwani chama anaelewa na kuzungumza kiarabu?Nadhani lengo lake nikuwasikiliza wanasema nini ili kujua mipango yao...
Ila kitakacho wakuta leo simba sijui wataficha wapi sura zao
Ulivyo na umasikini wa kufikiri unaona Juice ni kitu cha maana sana.Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.View attachment 2947790
chama alichoka matapu tapu ya mo ndo maana akataka juisi za uarabuni
Kama siyo Cha maana mbona alikwenda kuomba?!Ulivyo na umasikini wa kufikiri unaona Juice ni kitu cha maana sana.
POLE SANA MKUUUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Mbona Chamangwana alienda kuomba kama sio cha maana?Ulivyo na umasikini wa kufikiri unaona Juice ni kitu cha maana sana.
nyie hamjui mpira ama kwa makusudi mnajifanya kutokujuaKwani chama anaelewa na kuzungumza kiarabu?
Swala ni kuacha shobo
Jamaa alienda kugongea akadhani fegi.Isitokee Kama michuano ya AFL, hakika mwamba aliitia aibu Simba sc kwa kuomba juisi za Al ahly.View attachment 2947790