Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja . Watu...
0 Reactions
7 Replies
978 Views
Moja ya sababu kubwa inayofanya timu za ndani kung'ang'ania kushika nafasi za juu ni kucheza mashindano ya kimataifa. Sasa leo CAF wamekuja na mashindono makubwa yanayohusisha timu kutokana na...
3 Reactions
5 Replies
749 Views
Yanga wanahitaji point 1 tu kuwa mabingwa, hawana haja ya kukamia wala presha, Kesho kuna uwezekano mkubwa wakatangazwa mabingwa. Nguvu zote zihamishiwe F,A. ikibidi kina Max, Aucho, Diarra, Yao...
2 Reactions
4 Replies
824 Views
Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge...
10 Reactions
10 Replies
1K Views
Vipii ukoo jaman ngapingapi
0 Reactions
1 Replies
625 Views
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya...
13 Reactions
41 Replies
6K Views
Team zipo kwenye maandalizi. Kagera Sugar wamejipanga vizuri kuweza jipigia Simba hii mbovu ambayo kila atakaye anajipigia. Kagera wametamba kuwa ushindi kwao ni lazima. Yaani wakimkosa kosa sana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata...
6 Reactions
15 Replies
895 Views
Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
1. Kocha Anaweza Kucheza Kwa Timu Kama Atakavyo: Wengi hawajui hili lakini kocha ni sehemu ya timu na anaweza kumtoa mchezaji na kuingia uwanjani kucheza. Mfano wa kawaida ni Gianluca Vialli...
4 Reactions
46 Replies
7K Views
Inakuwaje wanajamvi! Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United. Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza Ukwel...
19 Reactions
51 Replies
2K Views
Sote tunajua juhudi zinazofanywa/zilizofanywa na Azam kwa ujumla. Nipo nchini burundi kisumbusi chao pendwa ni Azam na sasa Azam imeingia Kenya kwa Ruto kwa kasi ya ajabu. Ligi ya Kenya ni nzuri...
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Sisi sasa hivi tumeweka kiporo hoja ya Yanga kufungiwa kusajili kutokana na kumchezea mfumo, lakini tutakapomaliza nafasi ya pili mtatueleza ilikuwaje kuwaje hadi mkafungiwa, tumeshaandaa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa? Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike. Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba. Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la...
14 Reactions
65 Replies
6K Views
Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao. Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia. Beno kakolanya...
4 Reactions
2 Replies
550 Views
Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi...
1 Reactions
3 Replies
543 Views
Kikundi cha kukimbia ndani ya jiji la Mbeya,Green city Runners leo wamefanya mazoezi Leo ikiwa ni maandalizi kuelekea mashindano ya Tulia Marathon. Mwenyekiti wa kikundi hicho Maulid Jamadary...
2 Reactions
12 Replies
499 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…