Mimi ni Simba: ila hii Yanga inakera

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,983
24,616
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza

Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi vitimu vya nafasi ya tatu na ya pili vinaonekana havipo serious - maana vyenyewee vinagombea nafasi ya pili na ya tatu na vinaona raha
1712770831001.jpg
 
Uyo jamaa hapo pembeni anapua ndefu kama ya mzungu。
Siku hizi kwenye mabanda ya mpira hakuna watu kabsa, sijui tatizo ni mvua au nn?
 
Ukweli Yanga wanakera, timu haifungwi, timu hausuruhu, timu tangu ligi imeanza iko nafas ya kwanza, mvua zikaja bado iko nafas ya kwanza, hidaya kaja kapita Yanga bado iko nafas ya kwanza

Ukwel Yanga wanaifanya ligi ionekane haina ushindani, TFF liangalieni hili Yanga wana haribu Ligi, ivi vitimu vya nafasi ya tatu na ya pili vinaonekana havipo serious - maana vyenyewee vinagombea nafasi ya pili na ya tatu na vinaona rahaView attachment 2985610
Timu haifungwi....Lambalamba walimfunga nani:D:D:D
 
Back
Top Bottom