Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sote tulisikia habari za yanga kufungiwa kwa kutomlipia ada ya usajili mchezaji ambaye wamefanya kuwa siri. Hapa inawezekana kabisa walishirikiana na TFF kuchezea mfumo.Sasa hatari inayowakabili...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu dogo anaitwa Yahya Zaid wengi hawampi sana jicho na heshima yake. Lakini huyu ndio anaamua Azam icheze vipi na ushindi wa Azam mara nyingi unaanzia kwake. Leo ikiwa ataanzishwa na akawa...
2 Reactions
9 Replies
606 Views
NALIA NGWENA huwa nashangazwa sana na wachambuzi wa kibongo wanaojiita wanaharakati na uchambuzi wao umejikita juu ya Simba sc na Yanga Sc utadhani hii nchi Kuna timu mbili tu ndiyo zinacheza...
13 Reactions
171 Replies
5K Views
Azam inaonekana timu kubwa katika makaratasi lakini ukweli ni timu ndogo kutokana na viongozi waliopo na hata wajao. Kuendelea kubaki kucheza mechi za ligi zinazoandaliwa na TFF kutaimaliza...
7 Reactions
28 Replies
1K Views
Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habara mwanajukwaa la michezo. Kiukweli nianze kwa kusema maneno mafupi tu Azam haistahili kucheza Champions League msimu ujao..Mi shabiki wa mpira naufahamu mpira vizur. Jana baada ya ile Half...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
KATIKA kuadhimisha Siku ya Afrika 'Africa Day', Tanzania itaadhimisha kwa tukio hilo kwa mbio zitakazokwenda kwa jina la 'Africa Day Marathon' zitakazopambwa na wanariadha nyota wa zamani na wa...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Ni muda mrefu tumesikia mengi tu kwamba Feisal kwenda Azam ni kituo tu lakini destination ni MSIMBAZI. NIMESHAWISHIKA LEO KUAMIN
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Hizi gemu lazima Simba waziwekee mkakati maana Kagera kwao ni wa moto sana, tukifanya mchezo tunaweza kuacha point kagera, geita na Dodoma, hizo mechi ni ngumu sana. Mkakati lazima uwepo
2 Reactions
6 Replies
659 Views
Hawa wachezaji msimu huu na uliopita ukiwaangalia ni watu ambao wana malengo fulani na kuna kitu wanakitafua ila miili inakataa. Hii ni dalili kwamba wana uchovu wa muda mrefu au umri umewatupa...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
short clear 1. azam awawezi kutengeneza build up. in short ni through ball ndefu then inshallah. foward wapo one on one na 3 defenders every time. ni kama kichekesho. i still believe they got...
3 Reactions
11 Replies
874 Views
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Usione aibu na tuambie ukweli mara ya mwisho timu yako kubeba ubingwa wa Ligi ilikuwa ni mwaka gani? Mimi mwaka 2023.
4 Reactions
6 Replies
777 Views
Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
[emoji617][emoji617]MATCH DAY[emoji617][emoji617] [emoji471] #NBCPremierLeague [emoji460]️ Azam FC[emoji739]Young Africans SC [emoji414] 17.03.2024 [emoji909] Benjamin Mkapa Stadium. [emoji797]...
12 Reactions
955 Replies
56K Views
Jana niliangalia El classico lkn lengo langu kuu ilikuwa ni kutazama bwana mdogo ambaye amekuwa akiimbwa sana kwenye platform za social media Jana nimeangalia mechi ukitoa zile goli alizofunga...
9 Reactions
87 Replies
7K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
34 Reactions
1K Replies
74K Views
Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
1 Reactions
4 Replies
889 Views
Back
Top Bottom