Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rejea kichwa cha habari hapo juu Unabiii auishi mpaka utimie Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025 Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe Huyu ataondoka...
5 Reactions
16 Replies
980 Views
Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego. Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa...
8 Reactions
57 Replies
4K Views
Yaani kila stesheni habari ni za simba, habari ni za chama tu, kwamba timu zingine zipo kamilifu au?
0 Reactions
6 Replies
531 Views
Simba inafanya mambo kienyeji, Ushawahi ona wapi timu ina sajili wachezaji zaidi ya wa 5 pasipokuwa na Kocha mkuu nina mashaka na perfomance yao msimu ujao" Alex Ngereza Mchambuzi wa soka Tv3.
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Simba iltambulisha kwa bashasha na furaha kubwa kwamba wamemsajili lameck lawi coastal union wakasema simba hawakufuata utaratibu kwa hiyo deal lilikufa simba wakaaminisha washabiki wao kwamba...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu. Walipoanza...
1 Reactions
8 Replies
746 Views
Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Draft linazingua kinyama ukiliacha kucheza muda mrefu ukirudi kucheza game na wazoefu utafungwa hata kama unalijuaga.. Sasa kitendo cha kutamani kufungua fumbua code za ushindi kinapelekea usiku...
1 Reactions
11 Replies
641 Views
Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI...
4 Reactions
12 Replies
770 Views
Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo. Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa Baada ya mo Wafate akima Azam...
4 Reactions
7 Replies
755 Views
Tujikumbushe nchi zilizoshinda bid ya kuandaa mashindano ya AFCON 2027 ni TANZANIA, KENYA NA UGANDA lakini sisi hapa nyumbani tunaongea sana kuliko vitendo. Nchi nyingine KENYA NA UGANDA wako...
1 Reactions
15 Replies
823 Views
LAMECK LAWI na Coastal Union wapo kwenye mchakato wa mwisho wa kukamilisha vibali vya Beki huyo kusafiri kuelekea nchini Ubelgiji ambapo inatarajiwa atajiunga na klabu inayoshiriki ligi kuu nchini...
7 Reactions
24 Replies
2K Views
Nakumbuka nilitoa ushauri kama huu kabla Mudathir Yahya hajasajiriwa Jangwani. Ukimtoa Triple C pale Msimbazi hakuna playmaker mwingine kitu kinachoifanya timu icheze mpira mgumu usioeleweka...
13 Reactions
65 Replies
4K Views
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Mliposti kwa madaha kuwa mmemsajili beki wa Coastal Union, mkamsifia kuwa ni beki la kazi, beki katili, sasa Lawi ameonekana kwenye camp huko akijiandaa kucheza Cecafa. Wajibuni mashabiki...
1 Reactions
3 Replies
368 Views
Simba mpeni ukocha mkuu Juma Mgunda, timu yetu ya Simba siyo timu ya kufanya majaribio ya kuajiri kocha ambaye hajawi kuwa kocha mkuu wa timu yeyote. Fadlu David's amekuwa kocha msaidizi wa kocha...
2 Reactions
14 Replies
841 Views
Yametimia! Sasa tuone kama SSC itakufa au haitafanya vizuri kwa kutokuwepo na Chama. Nawaambia wapenzi wenzangu wa Simba kuwa sasa tufurahi kwani hakuna tena ubabaishaji eti bila fulani timu...
16 Reactions
32 Replies
2K Views
Ogopa sana kuwa mjinga wakati una akili zako timamu,Na ogopa sana kuwa mtumwa wakati uwezo wa kujitegemea unao.Ni wivu tu ambao umejaa na husda ambazo zinawatafuna Nzala ambao hawana...
4 Reactions
4 Replies
501 Views
JUST IMAGINE HUKU CHAMA , HUKU PACOME HUKU AZIZ KI [emoji119][emoji119][emoji91] WANANCHi Yanga sc wamemtambulisha mwamba wa lusaka Clatous Chota Chama kama nyota wao Mpya kuelekea msimu ujao...
4 Reactions
50 Replies
2K Views
Back
Top Bottom