Takribani miezi 10 ama 11 hivi nilikuwa sijagusa mpira, siku hiyo mwili wangu unatamani mpira kuliko chochote, hata ule mchezo wa mguu bara mguu pwani siutamani kama ambavyo nimeamka na tamaa ya...
Wakuu nimeamua kwa hiyari yangu na pasipo kulazimishwa na mtu yoyote kuitosa club ya Arsenal.Nina sababu nyingi za kuitosa The Gunners.
[1] Kukwepa magonjwa ya moyo.
[2] Imeshindwa kutwaa...
Ijulikane kama mmemleta kwa ajili ya Simba au Tanzania. Maana naona ujinga mwingi sana unaendelea. Anasemaje anataka aonane na wachezaji wa Simba? Ili iweje? Itokeeje? Ikaaeje?
Ni upuuzi hata...
Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama
Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia
Nimeona malalamiko ya viongozi wa...
Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa...
Arsenal imetwaa ubingwa wa Premier League 2025/26 baada ya Manchester City kulazimishwa sare ya Goli 1-1 kutoka kwa Bournemouth, matokeo hayo yanamaanisha hakuna timu itakayoweza kufikia alama za...
Endapo Mourinho atamnunua Salah Real Madrid msimu ujao kuna uwezekano ndoto yangu ya Mohamed Salah kupata Ballon D'ior ikatimia.
Halafu msimu wa 27-28 iwe zamu ya dogo Lamine Yamal kuisaidia...
Kama kuna raia bado anajinadi kuwa aviator inalipa namhurumia, hakuna siku utaweza kushindana na kompyuta.
Huu mchezo huenda ulianzishwa kwa ajili ya kufirisi watu🙃😁.
Tatizo sio kucheza pekee, tatizo ni:
❌ kukosa bankroll management
❌ greed
❌ chasing losses
❌ kucheza bila strategy
Ndiyo maana watu wengi wanaishia kuliwa kila siku bila kuelewa wanakosea wapi...
Huu ni uzi maalumu wa kupeana mbinu kwa wachezaji wa macasino ya mtandaoni. Tahadhari hii michezo sio ajira, cheza kwa kiasi ambacho ukipoteza hutaumia , ba jua ni muda upi unatakiwa kumpumzika...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limefanya droo rasmi ya upangaji wa makundi ya Kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambapo Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars...
Arsenal have officially been crowned 2025/26 Premier League champions after rivals Manchester City F.C. failed to keep pace in the title race following their draw with Bournemouth on Tuesday...