Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Sio kwa Ubaya. Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75. Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya...
2 Reactions
1 Replies
230 Views
Ninaishauri Klabu ya Yanga impe mkono wa kwaheri kipa Mshery. Kwenye mechi ya jana kipa huyu alifanya mambo ya hovyo kweli kweli. Mpira wa mbali unamponyoka kama vile siyo kipa wa kiwango...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Erling Haaland ni Mchezaji wa kwanza wa Premier League kuhusika katika Magoli 100 akiwa na chini ya Michezo 100 zaidi. Amefunga Magoli 84 na kutoa Asisti 16 katika Michezo 94 Manchester City...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Si wanajifanya wote Watoto wa Mjini sana na kutaka kuipelekesha TFF sasa Mchezo wao ujao Mgeni rasmi ni Rais Samia.
11 Reactions
95 Replies
4K Views
Wakuu, Jamaa kauona mwezi, Kibu Denis mchezaji machachari wa klabu ya Simba sc amefanikiwa kupata goli lake la kwanza tokea afunge kwa mara ya mwisho kwenye ligi ya NBC dhidi ya Yanga SC December...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) limemteua mwamuzi wa Tanzania, Ahmed Arajiga, kuwa miongoni mwa waamuzi watakaosimamia mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kati ya...
12 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni vile hajitambui tu ila ni mchezaji pekeake kwa kizazi cha sasa mwenye kipaji cha kutumia miguu yote miwili kwa usawa katika kila kitu Shida kichwani ni nyeto tu anawaza
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Kwa club kubwa kama Simba Sports Club sikutegemea wao kufanya hiki walichofanya, wamechukulia ajali ya dodoma jiji kama Advantage ya kufunga goli nyingi, shida walizopata Dodoma jiji wameona ni...
2 Reactions
12 Replies
817 Views
Simba wanapaswa kukubali kuwa wao ni timu ya pili baada ya yanga na kwa jinsi tunavyoenda huenda ikawa ya tatu. Naona yanga wana mikakati mikali kama shetani. Shetani anaweka...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Hofu yangu wasije wakawa baadhi ya Wachezaji wao ni Makomandoo pia kwani wana Pumzi na Wanakaba Kijeshi mno.
2 Reactions
5 Replies
593 Views
Mchambuzi mahiri Hans Rafael ameomba kuvunja mkataba wake na Crown FM 👑, hatua inayozua maswali kwa mashabiki wa uchambuzi wa michezo. Taarifa nilizozipata kutoka kwa chanzo changu cha uhakika...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Baada ya maombi mazito hatimaye mtoto wa mfalume aweka rekodi yake msimu huu Hat-trick' ya kwanza kwenye ligi kuu ya NBC msimu wa 2024/2025 imefungwa na Prince Dube Tangu ligi ianze Dube amekuwa...
10 Reactions
19 Replies
2K Views
Hi nchi Ina vituko sana Uwanja ni mali ya serikali alafu maamuzi ya ulinzi yanayohusu uwanja yanatolewa na makomandoo wa Yanga Ilitakiwa Simba walipofika uwanjani wakutane na walinzi wa uwanja...
1 Reactions
8 Replies
741 Views
Jamani ivi kweli BWENZI & CHIKOLA ni wakuachwa national team Aya na YONA AMOS JE? KIBU DENIS NA IDDY NADO wameitwa kwa vigezo vipi wakuu? Hapo kocha wangu umepuyanga kwakweli
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Nani anaifuatilia ligi ya bongo nani anajali matokeo nani anajali mechi zinazochezwa ni wapuuzi wachache waliounga mkono upuuzi uliofanywa na Yanga na wapuuzi waliounga mkono Simba na bodi ya...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Najua nitachukiwa na kubishiwa, ila Kidarubini bado uwezo wa Simba SC ni mdogo kuulinganisha na Yanga SC iliyotimia.
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nampa pole Mwakinyo hapa ndo Tanzania Mwakinyo amekuwa bondia mwanaharakati, ametetea maslahi ya bondia, ni kijana anajielewa Mwakinyo amekuwa akigomea malambano ya kinyonyaji hadi viongozi...
9 Reactions
80 Replies
4K Views
MILIONI 5 KILA MCHEZAJI Taarifa za hivi punde Vigogo wa klabu ya Dodoma Jiji wakishirikiana na wadau wa karibu wameweka mezani bahasha ya motisha katika timu yao ili ifanye vizuri leo dhidi...
3 Reactions
13 Replies
902 Views
Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Anaandika yusuph mkule "Nimewatazama Simba Leo dhidi ya TMA mpaka mwisho Kwa umakini sana nmegundua jambo. Pamoja na ushindi wa 3_0 wa simba, kweli walistahili kuikimbia derby ya machi 8 na...
4 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom