Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu...
Nimeshangazwa na maelezo kutoka Bodi ya ligi (TPLB) kuhusu sababu ya kuahirisha mchezo, Nimegundua nguvu kubwa inayotumika na bodi kujisafisha na kujitoa makosa yake.
Sababu za kuahirishwa mchezo...
Timu ya Singida Black Stars inatarajia kuzindua uwanja wake mkoani Singida, uzinduzi utafanyika Marchi 24 kwa mchezo wa Kirafiki dhidi ya Yanga SC.
Uwanja unaitwa AIRTEL STADIUM ambao wao ndio...
Hizi hadaa ambazo uongozi wa Yanga pamoja na GSM wanaendelea kufanya kuhusiana na ujenzi wa uwanja wa Yanga pale Jangwani ni geresha tu ambazo hazitakuja kuzaa matunda yoyote zaidi ya kuwapotezea...
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi...
•Tumemshtaki KARIA?
•Tumeishtaki TFF?
•Tumeishtaki Bodi ya ligi?
•Tumeishtaki Simba SC?
Naona uchambuzi wa tetesi ni mwingi kuliko uhalisia, hatusikii shauri linavyosema na uainisho wa vifungu...
Emmanuel Arnold Okwi hii leo ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya Taifa ya Uganda akiwa na umri wa miaka 32 baada ya kuhudumu kwa miaka 16 na 'The Cranes'.
Nyota huyo wa zamani wa Simba na...
Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania...
Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni"
Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana...
Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani.
Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda...
Kampuni hii ya michezo ya bahati nasibu imepiga bingo kwa zaidi ya asilimia 60. Ikunbukwe kuwa south Kuna miamba wengine wa betting kama betway na hollywoodbet . Hata hivyo mapato hayo...
Nimeona nijaribu kulijadili hili swala kimantiki bila ya kuleta ushabiki wa kitimu.
Kwanza kabisa watu wengi wanajadili Wala hawajui jinsi bodi ya ligi inavyoundwa na yenyewe inavyoendesha ligi...
Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC.
Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia...
Kama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara...
Nawaza tu hata wewe waza Bodi ilitoa hoja za usalama na Rushwa najiuliza.
Hivi Simba walivyozuiwa kupiga mazoezi ingetoa wakaacha kutoa Taarfa ya kugomea kucheza Match!
Bodi mngeahirisha game...
Watu wanasema kulikua na mazingira ya Rushwa Mara kulikua na Uvunjifu wa Amani.
Niwaaambie mnao raise hizo hoja sisi hatukatai hoja zenu ila tunataka mtu dhibitishie hivo vitu over...
Mjue Nini...
"Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la...
Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu...
Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali...