Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa...
Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi...
Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali...
Hii namna serikali inawadekeza hawa viongozi wa nyuma mwiko walioitisha maandamano pale stadium jana ni kuandaa mbegu ya uasi.
Siku moja hawa jamaa watageuka m23 na msiwafanye kitu.
Viongozi...
Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ?
Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi...
Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans
Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama
Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University
Arafat ni Mkurugenzi...
Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli.
Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya...
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel...
Za ndaaani ni kwamba Bodi ya ligi inayosimamiwa na Simba Sports Club imeliwa kichwa katika hatua za mwanzo za kutafuta suluhu.
Tuendelee kusubiri taarifa rasmi
Mimi sielewi kabisa yaani timu inakusanya mashabiki wake hadi uwanja wa taifa kwenda kupiga zogo HATUCHEZI HATUCHEZI
Halafu wanafunguliwa geti kuingia ndani ya uwanja kupiga kelele hawachezi...
Wakuu ikumbukwe Taifa hili la Tanganyika huwa linapeleka jumla ya timu nne kwenye michuano ya kimataifa.
Caf Champions league timu mbili na Cafcc timu mbili, katika hali ya kushangaza ni timu...
Haji Manara anakwenda kufaidika na msimamo wa yanga katika kila matokeo ya uamuzi wa kugomea mechi
Yanga kama hawatapeleka timu, kanuni zitafuatwa, Simba atafaidika na maamuzi. Hili likifanyika...
Majibu ya kitoto kabisa kwa Hersi, Edo amekuuliza kuhusu udhamini wa GSM kwa vilabu vinavyoshiriki LIgi yetu kuwa vinaashiria ya kuibeba Yanga wewe unasema unataka maswali Critical kama ya Oscar...
Nimeshangaa sana kuona Mamlaka zinazosimamia viwanja kuruhusu uwanja huu kutumika kwa michezo ya Ligi namba 6 kwa ubora barani Afrika. Baada ya kutazama mchezo wa Tabora utd inashangaza kuona...
kakangu
Mjomba wangu
Haya mambo lazima na n lazima utayameze
Nilikujulishe tu kama mjommbaa ile asali uliyotema lwenye conference lazima uimeze tenaaa
nakujuza tu uliidharau yanga ipo siku...