Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bado ni mapema sana kwa pande zote mbili kufanya maamuzi. Timu zote mbili za Simba na Yanga zimefanya usajili mzuri na zina vikosi vya kiushindani kwa mashindano ya ndani na nje. Tuna nafasi ya...
2 Reactions
16 Replies
985 Views
Mwakilishi wa Aziz K akiwa kwenye kikao kizito na kocha wa Wydad Rulani Mokwena pamoja na rais wa klab hiyo, wakimalizia mazungumzo ya mwisho kabisa ya aziz k kujiunga na miamba hao Ikumbukwe...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa ruhusa kwa uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, kutumika kwa michezo ya robo fainali na nusu fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda...
2 Reactions
7 Replies
701 Views
Kwa maoni yangu huyu ni mtu hatari sana kutokana na kuonesha ushabiki na upande katika sakata la derby. Licha ya vitendo vyake kusababisha kuchochea mgogoro huu,bado namuona ni mtu asiyefaa kuwa...
1 Reactions
9 Replies
712 Views
Ukweli useme Bodi ya ligi wameshindwa usimamizi wa ubora wa viwanja Kwanini bodi ya ligi iliufungilia huu uwanja mbovu hivi? Ligi namba 6 Africa haiwezi kuchezwa kwenye majaruba, kuruhusu...
3 Reactions
45 Replies
2K Views
AMEANDIKA ALLY KAMWE [emoji3578][emoji3593] Leo hapa Zanzibar, Uongozi wa Yangasc Tumesaini Makubaliano na Kamisheni ya Utalii Zanzibar, chini ya Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kwa ajili ya...
1 Reactions
7 Replies
684 Views
Kama ukiwasikiliza wazee wa Simba unaweza kusema ni wazee wa mtaani tu. Wazee wa Simba wanaongea, kusema na kutenda kama vijana wengine wa simba. Wazee wa Simba walipaswa kushauri viongozi wa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena. Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya...
13 Reactions
58 Replies
3K Views
Kwenye match za kimataifa anaanza kutamba kuwa ana TWO UCL😁 HAKIKA uyu dogo hamnazo kabisa kama alivyosema Neymar he is the most ugliest player.
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi. Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mpira unaendeshwa kwa kanuni, kama anaesimamia kanuni hizo ameshindwa kusimamia anapaswa kujiuzulu kwanza kabla kitu kikubwa kama wizara kufanya kitu kilekile walichoshindwa bodi ya ligi...
2 Reactions
3 Replies
572 Views
Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Hii namna serikali inawadekeza hawa viongozi wa nyuma mwiko walioitisha maandamano pale stadium jana ni kuandaa mbegu ya uasi. Siku moja hawa jamaa watageuka m23 na msiwafanye kitu. Viongozi...
4 Reactions
10 Replies
475 Views
Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ? Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University Arafat ni Mkurugenzi...
23 Reactions
104 Replies
5K Views
Wakati CAF inapanga droo ya CAFCL ba CAFCC walijazana mitaa ya Twiga na jangwani siku nzima uyafikiri hawana shughuli. Mara tena wamejaxana ofisi za BMT kwenye kikao cha serikali na bodi ya...
0 Reactions
9 Replies
491 Views
Rais wa Burkina Faso 🇧🇫Ibrahim Traoré ni mtu wa boli kweli kweli, hapa akiwa anacheza na wakongwe wa boli kwenye mchezo wa kirafiki akiwemo fundi wa Mpira kutoka Nigeria Jay-Jay Okocha, Emmanuel...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…