Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu
Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry...
GSM mungu anakuona
Mwambusi aliacha kazi Yanga huku machozi yanamtoka kwa kugombana na GSM
Mwambusi alisikika kwenye mitaa ya makorola Tanga kuwa lazima awakazie Yanga.
Kufumba na kufumbua...
PSG Mabingwa wa Ligue 1 huku mechi Sita zikiwa zimesalia, bao la Desire Doue lawawezesha kutwaa Taji
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligue 1 mapema, baada ya...
Wakuu wiki nzima hii .imi kama mchambuzi nimehangaika sana kufanya analysis Ili Simba ashinde Kwa mkapa .....chaajabu Kila nikipanga kikosi then nikifanya time traveling ( yaani nikirukia tarehe...
“Wapo watu wanasubiri tufeli waanze kutukebehi sasa tutumie kila tulichonacho kwenda nusu fainali. Na tukimuangalia mwarabu tunayecheza naye huyu ni wa kawaida kabisa. Katika waarabu tumewahi...
Chama cha soka Mkoa wa Mbeya kesho aprili 6, kinatarajia kufanya uchaguz wa kuwapata viongozi wake lakini cha ajabu kuna madudu ambayo yanaweza kusababisha maafa jambo ambalo ni muhimu kwa...
Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons
Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City...
Nimefuatilia uchambuzi wa wachambuzi wenzangu ....nimesikitika sana .....lakini pia nimecheka sana.....Kila mchambuzi anasema eti Simba Kwa mkapa atapindua meza[emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee...
Nimemsikiliza pasipo shaka Mkuu wa Mkoa wa Tabora kuhusu wachezaji wa Tabora kutumiwa sms za kuombwa wazubae kesho ili timu yetu ya Jangwani ipate matokeo, ni kweli anachosema RC kuwa makosa ya...
Kwa kocha huyu,Simba haiwezi kwenda zaidi ya hapo walipofika.
Kocha ana dissapoint wachezaji wazuri watakata tamaa.
Mwisho uchawi anaotumia yanga kushinda mechi za Simba ,atautumia tena...
Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana.
Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa...
Mtoto aliyepata malezi bora ya baba na mama utamjua ukubwani,huwa hawana adabu na hawajui waongee nini na wakati gani.
Kuna familia wazazi wote wapo pamoja ila mmoja yuko bize sana mpaka...
"Naomba mamlaka husika za mpira wa miguu kwa maana ya TFF na Bodi ya ligi kuchukulia hatua jambo hili, Bodi ya ligi hawajawahi kusema wasemaji tutukane viongozi na nampa masaa 24 Ali Kamwe amuombe...
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaweza kukabiliwa na vikwazo ikiwa ni pamoja na kufungiwa na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) baada ya Rais wa Chama cha soka la wanawake nchini humo (LIFF)...
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa Simba ni miongoni mwa timu zinazotoa vipigo vikubwa barani Afrika huku akisisitiza kuwa tayari wamewahi kuwadhalilisha...