Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rastaman Denis Kibu, Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani. Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama unajua Sport live-streaming site Pls tuwekee link hapa tafadhali!
2 Reactions
11 Replies
10K Views
Mechi zote tatu zimeanza mida ya saa nne. 1.Al Hilaly Omdurman Vs Al AHLY 2.As far Rabat Vs Pyramids 3.Esperance Vs Mamelodi Sundown's Karibuni
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga...
4 Reactions
7 Replies
726 Views
Tunapoongelea rekodi mbalimbali ambazo Simba inaziweka, zipo nyingi na zinatokea kila siku hadi zingine tunazisahau au hatuzichukulii kwa uzito unaostahili. Msimu huu iwapo itafika fainali ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa namna mabeki wa Al MAsry wanavyocheza na kwa aina ya uchezaji wa Elia Mpanzu Kibisawala na pacha wake KIbbu Dennis, hakyamungu waarabu kesho kazi ipo. Na kama hakutakuwa na figisu kutoka kwa...
1 Reactions
5 Replies
669 Views
Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita Wao wakaenda kupita mlango...
0 Reactions
9 Replies
783 Views
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu...
11 Reactions
25 Replies
2K Views
Leo mechi ni nyingi. Za majuu uefa champions league na Africa champions league. Wapi pa kuangalia mechi kama nne Kwa pamoja hapa DAR? Bar au pub au kibanda umiza? Asante.
2 Reactions
5 Replies
571 Views
Joseph Lazaro, beki wa zamani wa kushoto wa Coastal Union akiwa msaidizi wa marehemu Douglas Mhani enzi zile za marehemu Hamis Makene, benchi akiwa Mohamed Mwameja, kulia Saidi Kolongo, kushoto...
0 Reactions
4 Replies
633 Views
Wazee wa SIMBA hawamtaki MENEJA wa UWANJA wa MKAPA wanataka AONDOKE wanaogopa kuhujumiwa.
3 Reactions
41 Replies
3K Views
TFF na bodi ya ligi baada ya kukaa wameazimia Kufuta matokeo yaliyotokea huko Egypt Simba kupigwa goli 2 Bodi ya ligi imejiridhisha kuwa Simba walionewa baada ya kuzuiwa kufanya mazoezi Pia bodi...
7 Reactions
38 Replies
2K Views
Ilichukua miaka 53 toka mara ya mwisho Yanga kucheza robo fainali ya CAFCL hadi waliporudia tena msimu wa 2023-24. Kama tukienda na takwimu hizi zinavyosema, na tukiangalia mwenendo wa hii timu...
2 Reactions
29 Replies
1K Views
Huu ni utabiri wangu juu ya yajao kwenye soka la Tanzania. Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ SIMBA kwa mara ya kwanza 2025 inakwenda kuwa bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Hii team tangu mzunguko wa pili uanze na aichukue baba isaya inapiga mpira jihadi sana ni Raha kuitazama hasa Leo itakapoumana na fountain gate
1 Reactions
6 Replies
510 Views
Ndugu wanasimba Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao FT Simba 0 al masry 0.
0 Reactions
10 Replies
684 Views
“Nafahamu wote kwa pamoja tuna hamu ya kupata matokeo katika mechi hii lakini matokeo haya kuyapata kwa kushinda na kufuzu. Sisi tumeweka mazingira mazuri ambayo yataiwezesha timu yetu kufuzu.”...
4 Reactions
83 Replies
5K Views
Kinda wa Leicester City, Jeremy Monga jana usiku aliweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili kwa umri mdogo kucheza EPL. Kwakuwa Monga yuko chini ya miaka 18, hivyo jezi yake haikuwa na maandishi ya...
3 Reactions
10 Replies
942 Views
1: Hotelini 2: Uwanjani 3: Referees 4: Ulonzi Zinatafutwa goli 3 kuendelea, ngoja tuone.
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kufanikiwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Mbeya, Elias Mwanjala amewahakikishia wana Mbeya na wapenzi wa soka kiujumla kushirikiana na serikali ili...
0 Reactions
2 Replies
386 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…