Pamoja na wachezaji kucheza kwa kiwango cha hali ya juu hakika katika mpira nidhamu ni kitu cha muhimu sana sana;
jana kwa walioangalia mpira kuna kijana ambae leo kwenye gazeti la dar leo...
Drogba wins BBC African Footballer of the Year award
By Stephen Fottrell
BBC African Sport
Didier Drogba of Chelsea and Ivory Coast has been crowned the 2009 BBC African Footballer...
Naam, waheshimiwa zimebaki siku kumi tu msimu wa 2009/10 wa ligi ya Uingereza uanze.
Mechi siku ya ufunguzi ni kama ifuatavyo
August 15th
Chelsea v Hull City - Stamford Bridge
Aston Villa v...
Kiungo anayeaminika kumwaga majalo yenye upako Daudi Yusuph Robert Beckham juzi alianza ktk kikosi cha kwanza cha klabu yake ya sasa ya AC Milan na kuisaidia klabu hiyo yenye vikombe vingi zaidi...
JK apata dina la mchana na ivory coast, rwanda na taifa stars leo
JK akimzawadia jezi ya TAifa Stars nyota wa Ivory Coast na Chelsea Didier Drogba katika dina la mchana alilowaandalia...
Jan 6, 2010
Ivory Coast coach Vahid Halilhodzic heaped praise on the Tanzanian national team who were beaten 1-0 by The Elephants on Monday during a friendly match played in Dar-es-Salam, saying...
Ndoto ya Tenga kuitangaza TZ kwa njia ya mpira hatimaye imelipa, leo kwa mara ya kwanza BBC WORLD kipindi cha michezo kimetangaza habari za Tz kucheza na Ivory coast. Ingawa focus yao ilikuwa kwa...
Kuna jambo linalonitatiza kidogo. Jambo lenyewe ni mabati yaliyozungushwa kwenye uwanja mpya wa Taifa tangu kipindi unajengwa hadi sasa wakati ukuta umekwishakujengwa na makabidhiano baina ya...
Heshima mbele wakuu,leo Timu yetu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) inacheza na Timu ya Taifa ya Ivory Coast(Les Éléphants) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa.Ni vizuri tukawa tukipeana updates...