Video: Tanzania 0 vs 1 Ivory Coast on 4th Jan 2010

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=2q-nMMdLWA0[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=gR1iMA3MXvg[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=lQABilfM61o[/ame]

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=SqPqeXhleMA[/ame]
 
Mwimbo wa taifa wa Tanzania unanipa goose bumps. Ivory Coast kiasi inanikumbusha Cameroon ya 1990, hopefully watafanya maajabu huko SA.
 
Mwimbo wa taifa wa Tanzania unanipa goose bumps. Ivory Coast kiasi inanikumbusha Cameroon ya 1990, hopefully watafanya maajabu huko SA.
umeona wakati wa wimbo wa taifa wa IC walivyosimama? waligeuka upande? au ndio style yao? wabongo wapiiii...ila Maximo alikuwa anaimba wimbo wa taifa kwa kiswahili!
 
umeona wakati wa wimbo wa taifa wa IC walivyosimama? waligeuka upande? au ndio style yao? wabongo wapiiii...ila Maximo alikuwa anaimba wimbo wa taifa kwa kiswahili!​

Yeah, naona ni style yao hiyo. Maximo nadhani atakuwa anajua kiswahili by now, at least cha kubangaiza.

'Kidogo chetu', jaribu kuziangalia moja kwa moja kutoka youtube, sijui unatumia network ya aina gani.

Hao polisi naona wanapokea amri kutoka kwa hao wapiga picha......only in Tanzania.
 
Back
Top Bottom