Taifa stars walipoogopa kupigwa picha wakiwa wametinga suti!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa stars walipoogopa kupigwa picha wakiwa wametinga suti!!

Discussion in 'Sports' started by Vitendo, Jan 7, 2010.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii nayo vp?hawataki waonekane wamevaa suti au?
   

  Attached Files:

 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Wanataka kuonesha utii kwa waziri wao mkuu!!
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Tatizo wachezaji wetu wengi ni watoto wa uswahilini
  Ustaarabu F...
  aaah acheni wajipatie riziki...
  wakale wapi?
   
 4. bht

  bht JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hivi Pape kuvaa suti ndo kipimo cha ustaarabu??? mavazi yanategemea na shughuli ya mtu, umbo/muonekano nk.
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  tatizo sio kuvaa suti...
  embu angalia hapo wamesimama ili wapigwe picha!!
  vipi unakubaliana na pozi lao?
  angalia hao mikono machoni...
  wengine wanainama chini....
   
 6. bht

  bht JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hawajazoea jamani,ingekuwa zile 'jezi' zao aaaaah mashallah ungeona pozi za kifutibal hapo!!!

  suti bana 'is not their thing' Pape!!!
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  good observation dia
  btw wapi zd?
   
 8. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  HAahaha
  Lazima wafahamu kuna nguo za mpira na zisizo za mpira, walitaka waende Hotelini na bukta zao?? Huyo aliyesema tatizo la wachezaji wetu ni vijana wa kijiweni naungana naye
   
 9. K

  Kikambala Senior Member

  #9
  Jan 8, 2010
  Joined: Jun 28, 2008
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Duuu hawajajitayarisha kabisa kupiga picha
   
 10. bht

  bht JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  yaani siku hizi ananidip saa ya 'mamushka' tu baada ya hapo not reachable!! anashinda site naona!!!!
   
Loading...