Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimegundua inawezekana Ligi Kuu ya Hispania ikawa na mvuto zaidi kwa kumtazama mchezaji mmoja mmoja ukilinganisha na Ligi ya England ambayo sana sana unaitazama kwa uwezo wa timu kushinda kitimu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
I know its gonna be unpopular opinion lakini potelea mbali. I have tried kusikiliza bongo flava lakini i can confess kuwa nimegive up! Kama ingekuwa 1980's NINGEKUBALI kuwa hatuna vifaa wala...
0 Reactions
42 Replies
11K Views
Maamuzi mabovu ya mwamuzi Mathew Akrama yamepelekea timu ya Azam FC kupoteza mchezo wake wa pili dhidi ya Simba SC kwa kuruhusu kufungwa 2-1 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Mkwakwani, Tanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamii; Iwapo kama kuna mtu anamjua mtu yeyote aliyemaliza form four na amefaulu, na huyo mtu ni mwanamichezo wa; mpira wa miguu, mpira mikono, mpira wa kikapu au riadha basi awasiliane na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wandungu hivi humu hakuna wapenzi wa F1?Naona RED BULL(Mark Webber na Seb Vettel) wanadominate sana,nafikiri mwaka huu wanaweza kushinda DRIVER'S na CONSTRUCTOR'S CHAMPIONSHIP.
0 Reactions
92 Replies
7K Views
IN PICTURES: Uganda maul Angola
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukiachilia mbali kuwa matokeo ya suluhu dhidi ya Ageria mchezo uliofanyika Ijumaa katika mjia wa BILDA, Algeria utaacha kumbukumbu nyingine ambayo pengine itachukua kipindi kirefu kufutika. Kikosi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jioni hii serikali imeuandikia rasmi uongozi wa YANGA Afrika uamuzi wa kuipatia timu hiyo uwanja mpya wa Taifa kama uwanja wao wa nyumbani...hatua hiyo inakuja baada ya SIMBA ambayo nayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Physicists have explained one of football's most spectacular goals. Brazilian Roberto Carlos's 1997 free-kick against France curved so sharply that it left goalkeeper Fabian Barthez...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ENGLAND footie ace Wayne Rooney flew out to Switzerland today after begging wife Coleen to forgive him for romping with a £1,200-a-night hooker. Proud ... Wayne and Coleen with son...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Inasemekena kwamba A. Kassim (mfungaji wa goli pekee la stars) alivaa jezi namba 10 ya J. Tegete ambaye kwasasa ametemwa na Kocha mpya (Paulsen).My Take: Kama mchezaji akitemwa katika timu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Klabu yenye mafanikio zaidi hapa ulimwenguni na klabu ilopata kusajili nyota weeengi wa ukweli hapa Duniani yaani AC Milan imefanikiwa kumnyaka kiungo mwenye tashtiti na pilika zenye mafanikio...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
The Liverpool defender, who completed his transfer from Fulham to Anfield on deadline day last week, enjoyed a second half run-out for the Reds in Jamie Carragher's testimonial on Saturday...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Leo nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwenye sehemu michezo nikashangazwa sana na aibu ambayo Tanzania imetuletea kwenye mchezo wa Ngumi(boxing). Tanzania kama nchi mwenyeji wa mashindano ya...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana kuumwa na utaifa wao na shauku ya kujitegemea yenyewe nchi ya zanzibar ipo mbioni kuukwaa uwanachama wa shirikisho la vyama vya mpira wa miguu duniani (FIFA). Hatua...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Hivi leo katika uwanja wa Taifa hapo Dar, Simba na Gor Mahia watakutana katika mechi ya kirafiki. Yanga Na Gor Mahia watakutana huko Arusha kesho kutwa.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NYON, Switzerland — UEFA has banned fans from bringing vuvuzelas into stadiums for European Championship and Champions League matches. UEFA said Wednesday it wanted to protect the culture and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa Soka Bongo,naomba tulijadili hili. Binafsi sioni kama kuna ulazima wa kuwa na kocha wa kigeni ktk youth ranks e.g U17 au U 20,kwa sababu naamini tunao makocha wa hapa nyumbani...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
INTER VS ATLATICO MADRID Broadcast date: Friday 27th August, 2010 @ 21h40 on MBC 3 kwa wale wenye GTV DECODER inapatikana Eutelsat W3A @ 7° East freq 11192 V - SR 3210 1/2
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…