Brazil yatolewa out na paraguay,yatolewa kwa penalt 2-0,yakosa penalti zote nne mfululizo.Kwa upande mwingine Japan(the barca of women),ndo mabingwa wapya baada ya kuizaba USA kwa mikwaju 3-1 ya penalti.
Safi sana, hawa Brazil hawana vipaji siku hizi kwenye timu yao wanatumia nguvu sana badala ya akili na vipaji!! Siku hizi wachezaji wengi si natural, ni wa kufundishwa kucheza mpira.
Safi sana, hawa Brazil hawana vipaji siku hizi kwenye timu yao wanatumia nguvu sana badala ya akili na vipaji!! Siku hizi wachezaji wengi si natural, ni wa kufundishwa kucheza mpira.
wanavipaji lakini tatizo ni moja mipango ya kushinda hawa na kitu chengine hata kupiga penati hawawezi yaani balaa tupu.. walikuwa wanachezea jina na sio uwezo wao binafsi..
bora wajue kuwa wakijisahau kuna wenzao watawaacha. sio lazima wawe brazil tu on top. hiyo mind sent ikibadilika, sote tutaweza shindana na yeyote yule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.