Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS...
Amani ya Mungu iwe juu yenu!!
Swali moja tuu kwa Eng Hersi,wapenzi,wanachama na mashabiki wa Yanga tangu timu ishindwe kufuzu kuingia robo fainali klabu bingwa Afrika Raisi umeamua kupiga kimya...
Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha...
Habarini wana michezo. Naomba nisiwachoshe,naona kama upeo wangu wa kuangalia mchezaji mchezaji umefika mwisho bila kuona thamani ya huyu no 9 wa Man united.
Kwa mechi nyingi sana zimepita...
Kwenye kile kipengere chetu cha kusajili mchezaji mmoja anayependekezwa basi tunaomba umalizane na Feitoto mapema kabisa.
Kwa hili hakuna shabiki wa Simba Sc atakayepinga. Naamini hata Fei...
Uwanja wa Azam Complex unakidhi viwango vya kuchezewa mechi za kimataifa
Na Simba ni timu ya Dar es Salaam, mashabikk wake wengi wapo mkoa wa Dar es Salaam na Tanzania bara, nadhangaa kwa nini...
Kwanza nimpongeze Mtanzania mwenzangu Joseph Rwegasira Samson kwa kushinda tenda ya kuzalisha jezi za mnyama. Pili niwapongeze SIMBA SC Kwa Mkataba mnono WA jezi wenye thamani ya BILLION 38.6 Kwa...
Ukiona kampuni imesimama mpaka imejulikana kitaifa ujue owners wamepambana sana,jasho,machozi na damu.
Hakuna mtu mnyonge anayeweza kumiliki kampuni yenye thamani ya mabilioni.
Company owners...
Hii timu inaingia leo tayari kuelekea zanzibar kukumbana na mnyama katika hatua ya nusu fainali, nimefurahi sana ngoma kupigwa uwanja wa amani wa zanzibar, uwanja wa Taifa tunaupenda lakini...
“ Kila mwaka tutasajili mchezaji mmoja ambaye Wanasimba wanamtaka, tutakuwa tunaambiwa na sisi tutakuwa tunamsajili."- Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph...
Wanayanga mpito wanaopitia, Inadhihirisha mambo makuu mawili
1.Siku zote akili kubwa haiwezi kuongozwa na akili ndogo. Jaribu kuangalia hata hadhi, heshima, hekima na busara za kiuongozi kati ya...
Historia ya Mpira wa Soka (Football)
Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi...
Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni.
Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu...
Mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho CAF kati ya Simba SC na Stellenbosch Aprili 20, huwenda ikachezwa Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinaeleza maandalizi...
Mzuka wanajamvi!
Michezo inalipa tukiwaona watoto wetu wanavipaji vya Michezo kwaanzia wadogo yani nikukomaa nao siyo tu muda wote kuwakazania kukariri orodha japo pia elimu ni muhimu na LAZIMA...
Kuna ladha tunakosa naangalia hapa game la mashujaa kigoma ila carpet ni carpet wakuu.
Hivyo napendekeza serikali itenge billion 1 kila mkoa ambao kuna uwanja wa mpira papigwe carpet nyasi bandia