Dogo wa Arsenal kaula kutoka pauni 3000 hadi 35,000

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Mzuka wanajamvi!

Michezo inalipa tukiwaona watoto wetu wanavipaji vya Michezo kwaanzia wadogo yani nikukomaa nao siyo tu muda wote kuwakazania kukariri orodha japo pia elimu ni muhimu na LAZIMA.

Kinda wa Arsenal Bukayo Saka anakaribia kumwaga wino na kula shavu ya 35,000 pauni za uingereza kwa wiki kutoka pauni 3000 mara kumi zaidi.

Arsenal wameamua kufanya hivyo kumshawishi asihame timu baada ya kuonyesha uwezo zaidi na kunyemelewa na timu nyingi za Bundesliga.

Bukayo Saka mwenye umri wa miaka 18 alizaliwa London Uingereza na wazazi wake ni wayoruba kutoka Nigeria.

Kila la Kheri Bukayo.

skysports-bukayo-saka-arsenal_4806505.jpg
 
Matikiti yaache kwenye spreadsheet....ukiingia kichwa kichwa lazima ulie.
Tafuta product ya huko uilete Tz. Trust me zipo nyingi sana
Dah products gani GT? Nilipokuwa mgeni Denmark nilikuwa naokota sana vitu 'jalalani' hasa DVD players na masony bavaria. Nikayajaza homu hadi uvunguni ex waifu akawa ananicheka. Yani ikawa kero eti nakusanya nilete bongo ilibidi nivitupe tu na kuvitupa huko jalalani inabidi ulipie. Bora kubeba boksi nakutulia tu
 
Lete hata used fridges,freezers, electronics etc.
 
Back
Top Bottom