Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

1. Tukubali au tukatae, tukana lakin Clatous Chota Chama bado anahitajika ndani ya timu yetu, awe yeye au Feitoto, leo ndio Chama angejichukulia ujiko mwingi sana. 2. Mechi imeharibiwa na kocha...
13 Reactions
75 Replies
4K Views
Nauliza mapema hapa..Kuna wale Sasa hivi wanasema STELLENBOSCH ni bonge la timu..ila ikija kufungwa wanabadilika na kusema hamna kitu pale..vibonde wale. Haya Sasa Je STELLENBOSCH timu kubwa au...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
baada ya simba kushinda moja ziro, sasa macho na masikio ni kwenye mbio za 127 za boston marathon 42K huko marekani kesho tarehe 21 aprili 2025. Simbu ni mwanariadha wa kimataifa mwenye sifa ya...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Huu ni ushauri tu,ukitoa kipa na namba 9 wengine wote wawe mabeki au viungo wakabaji hii ndio njia rahisi ya kutinga fainali
1 Reactions
16 Replies
781 Views
Klabu ya Vipers SC ya nchini Uganda imemzawadia Mtoto Jamal Ssenyondwa aliyetokwa na Machozi katika uwanja wa Nakivubo wakati Vipers ilipopigwa goli la pili na klabu ya Express United na kufanya...
7 Reactions
11 Replies
818 Views
Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wameshinda lakini hawana furaha. Tafsiri ya kauli hii ipo mioyoni mwa mashabiki wa Arsenal. Wakati tunajiandaa na come back kabambe dhidi ya Hawa watoto (Arsenal), nawatembeza chini ya barabara...
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Mwanamuziki nguli wa Bongofleva, Lady Jay Dee aliwahi kuimba kibao maarufu " Siku hazigandi " alikuwa sahihi. Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu hatimae ndio linapigwa leo, ama kweli...
44 Reactions
2K Replies
133K Views
Elie Mpanzu aka Joshua Mutale toka kongo. Huu ni usajili wa kisiasa na inawezekana asichezee kabisa Simba msimu huu. Simba ni mabingwa wa kufanya sajili za kisiasa kutuliza joto la mashabiki...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe...
1 Reactions
6 Replies
456 Views
ANAANDIKA EMMANUEL MALIMA TWENDE NA DATA MICHUANO ya Kombe la CAF, ilikuwa ni michuano maalumu ya kila mwaka, iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kwa kuzishirikisha timu...
3 Reactions
6 Replies
16K Views
Klabu ya Simba SC itapata kitita cha dola 750,000 sawa na zaidi ya Shilingi bilioni 2 (2,006,874,750) baada ya kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC imefanikiwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua...
1 Reactions
1 Replies
408 Views
Mtangazaji Mwijaku alitoa ahadi kuwa Yanga Sc ikimfunga Simba basi atampa mke wake Ali Kamwe ambaye ni Msemaji wa Yanga Vipi sasa kashampeleka kwa Ali Kamwe au Kamwe amfuate mwenyewe? Ubaya...
5 Reactions
60 Replies
4K Views
Uongozi wa Simba unatuona mashabiki na Wanachama wa Simba mbumbumbu kama alivotuita Rage pale kwenye ukumbi wa polisi Oystabay aliwaita Wanachama wa Simba ni mbumbumbu Mwekezaji mkuu Mo mwenye...
9 Reactions
80 Replies
3K Views
Msafara mrefu wa Magari ukiwa umesheheni Mashehe na Wapiga Dufu umeanza safari Kuelekea nyumbani kwa Mwijaku ili Kumchukua Mke wake kama alivyoahidi yeye Mwenyewe. Mashehe wengi wameonekana na...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
‎Kwenye hili hakuna hata kupepesa macho kama kwa sasa Jonathan Sowah ndiyo mshambuliaji hatari zaidi kwenye ligi kuu soka Tanzania bara ‎ ‎Mpaka sasa kama utagawa kwa idadi ya michezo ambazo...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Kwa Maoni yangu,Sababu zitazoifanya Simba imfunge Stellenbosch jumapili huko Zanzibar ni hizi hapa. Kwa miaka mingi Simba imekua ikiishia robo fainali kimataifa sio Kwa sababu ya kua uwezo wao...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…