Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ni utabiri wa mechi kinajamu, mechi ya marudiano tarehe 27 baina ya Simba vs Stellenbosch na Simba ndiye aliyetawala kinyota. Credit: AI
1 Reactions
9 Replies
774 Views
Mimi nashangaa sana kuona wajinga wajinga wasiotaka kukubali uwezo wa Yanga kiubora, kiufundi, na kiftness! Leo hii mtu anakurupuka uko ameshiba makande yake anasema kipa wa fountain kauza mechi...
4 Reactions
12 Replies
914 Views
Your honor, this notice takes into account a letter dated 21stFebruary 2022 that our client (unknown) addressed you and before that our client also addressed two letters to National Sports Council...
0 Reactions
0 Replies
459 Views
Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo.. Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa...
36 Reactions
162 Replies
10K Views
Kuna wachambuzi na baadhi ya wajinga ikiwa ni pamoja na coach wake Matano aliyemtupia lawama baada ya kufungwa goal 2 Goal keeper Nobo amefanya saves 4 kubwa na kuinusuru timu yake ila analaumiwa...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu. Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje...
3 Reactions
9 Replies
733 Views
Sikieni ufanyieni matengenezo uwanja wenu,hasa kwenye pitch kuna mapengo ya nyasi,msisubiri mpaka uharibike kabisa
2 Reactions
2 Replies
438 Views
Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu...
15 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Kipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili. Nitarudi...
6 Reactions
71 Replies
5K Views
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa...
6 Reactions
157 Replies
5K Views
Timu za ligi kuu zicheze zenyewe kwa zenyewe mpaka pale itakapobaki timu moja ambayo itaenda kukutana fainali na ile moja ya ligi Daraja la chini ambayo pia imeingia fainali baada ya kucheza na...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Rasmi Kengold inakuwa timu ya kwanza kushuka daraja msimu huu baada ya kipigo cha 2 - 1 leo Dhidi ya Wanamangushi Coastal Union. Mpka sasa Kengold ipo nafasi ya 16 na alama zao 16 katika msimamo...
0 Reactions
6 Replies
658 Views
Daa! Leo napumzika rasmi kubeti. Sababu ni hizi hapa. 1. Tangu nianze kubeti uwiano wangu wa kula na kuliwa ni 1:5. 2. Uhuni ni mwingi, timu zinajifungisha au hazifungi au hazifungani ( match...
7 Reactions
14 Replies
898 Views
Davis Mwape Jaja Izechukwu Countinho Orji Obina Obren Curkovic Ndlovu Papa Ndew Robert Mba Nawakumbuka hao
0 Reactions
13 Replies
2K Views
MGONJWA wetu pale Anfield yupo hoi bin taabani. Madaktari wamemzunguka na hawajui hata waanzie wapi. Mgonjwa anaumwa kila kitu katika mwili na kinachoshangaza ni kwamba ameumwa ghafla mno...
0 Reactions
8 Replies
973 Views
Mchezaji huyo ambae amedumu kwa muda wa miaka 12, toka enzi za Sir Alex hatimae anaondoka rasmi na kwenda kutafuta changamoto sehemu nyingine. David De Gea anaondoka baada ya kushindwana na timu...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Ngudu wanajamiiforum wenzangu kuanzia Leo nimeacha kushabia team ya Manchester united sababu haina mikakati madhubuti ya kutawala EPL na kutetea wanyonge ili kuondoa ile Spain domination kwenye...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
Mchezaji alitetwe na wengine adakwe na wengine 🀣🀣🀣🀣🀣🦁🦁🦁🦁🦁🦁
13 Reactions
229 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…