Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Historia ya Mpira wa Soka (Football) Mpira wa soka ni moja ya michezo maarufu zaidi duniani, lakini historia yake ni ndefu na inajumuisha maendeleo mbalimbali kutoka kwa michezo ya zamani hadi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mechi ya marudiano kati ya Al Ahly dhidi ya Mamelodi Dakika ya 8 bado milango migumu pande zote mbili Mamelodi wamekosa nafasi ya wazi kabisa.
5 Reactions
230 Replies
11K Views
Kama kawaida baada ya timu yao pendwa kutolewa wataona umuhimu wa kuifuta hiyo sheria
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Linapokuja suala la fashion, hakuna taifa linaloipiku Italia kwenye ubunifu wa mavazi. Kidogo Mfaransa anajitahidi ila Muitaliano ni habari nyingine kabisa. Huko ndiyo wanapotoka kina Armani...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni kawaida ya Chama mkataba unapokaribia kuisha huongeza sana juhudi ya mazoezi. Na hili jambo kwa kweli humbadilisha Chama na kumfanya mpambanaji sana uwanjani. Ila tena matches ngumu zikianza...
4 Reactions
15 Replies
903 Views
Taarifa za kikachero( zandaaaani sheikh)[emoji23][emoji23] zinadai Makolo walitaka kumaliza mechi nje ya uwanja[emoji23][emoji23] CAF washtukia Bora kwasababu taarifa za chinichini zisizo rasmi...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
TETESI ZA SOKA ULAYA IJUMAA 16.06.2017 *Chelsea kunafukuta? *Real ‘wakomaa’ na Morata *Giroud kufanywa ‘chambo’ *Ronaldo kuodoka Spain Kuna ‘hali ya mvutano’ kati ya meneja wa Chelsea Antonio...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Kuna watu wanafurahia na kusema kuwa Simba ina mashabiki wengi sana South Afrika kuliko Stellenbosch; hivyo kuwa kama sababu ya Simba kufanya vizuri kule dhidi ya Stelle Simba walifanya vitu...
1 Reactions
18 Replies
967 Views
guest-1787677786
Inasikitisha. Tupo nyumbani kwenye mechi ya nusu fainali ambayo tunahitaji matokeo ya goli kuanzia 2 kwenda juu alafu kocha anaanza na viungo wakabaji na sio wakabaji tu ila pia wenye mentality...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Katika pitapita zangu huko mitandaoni, nimekutana na mijadala fulani kuhusiana na mipango inayosukwa ya usajili wa Yanga kuelekea msimu wa 2025-2026. Pamoja na kwamba niliapa kuacha kuongelea...
5 Reactions
13 Replies
26K Views
Asubuhi asubuhi nadondosha uzi. Ebwana wasouth wana dharau sana kwa waafrika wenzao. Yaani hawa jamaa tumewapigania na tuliwapa hadi hifadhi lakini leo wanatuona waafrika wenzao kama nyani na...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida Kila Yanga ikishinda lazima wachezaji walaumiwe.....Baada ya Simba kukandwa heavily 5...1 makolo walimlaumu manura, Baada ya marudiano na Simba kukandwa 1...0 Alidaka camara (...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Hukumu ya shauri la Liston Katabazi dhidi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) iliyokuwa itolewe tarehe ya hukumu ya shauri hilo Aprili 23, 2025 katika Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
530 Views
SIWATISHI HALI YA SASA ILIYOPO VIJA A WAMEJIPANGA...NA MOJA YA SILAHA WANAYOENDA KUWANYOOSHA SIMBA N PENALTY AMA VIA REDKADI WACHEZE KWA HESHIMA SANA NA NIDHAMU WASIJISAHAU WAKAJUA WAKO UWANJA...
1 Reactions
11 Replies
714 Views
Ahoua kazi yake ni mcheza mpira,anajua kabisa kufunga goli kwake ni Pesa ,utajiri na maisha mazuri. Anajua kabisa akifunga goli hasa katika michuano hii ya CAF atazawadiwa fedha nyingi, fedha za...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Wadau nchi hii ina sanaa nyingi sana. Kimsingi hamna uongozi wa kujenga taasisi imara badala yake mna kikundi cha watu wanaowekeza kwenye siasa ya kubaki madarakani. Imebainika kwamba wakati...
1 Reactions
7 Replies
811 Views
Kuna huu upotoshaji unaoendelea mitandaoni kuhusiana na uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kuipa tafu klabu ya Simba katika mechi yake ya pili dhidi ya Stellenbosch huko Durban, South Africa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kocha huyo amesema golikipa ndiyo amewatoa mchezoni mapema maana magoli aliyofungwa ni ya kupeana tu.
2 Reactions
70 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…