Wadau naomba mnifahamishe kama mechi hii ya Chad Vs Tanzania itakayofanyika tarehe 11/11/2011 kama itarushwa moja kwa moja na kituo chochote cha televisheni hapa Tanzania kwa sababu...
Tanzania imetwaa ubingwa wa wavulana katika mashindano ya CAF Schools Football Championship baada ya kuifunga Senegal katika pambano la kusisimua lililoamuliwa kwa mikwaju ya penalti.
Licha ya...
Ligi Kuu ya England Premier League imeendelea leo Aprili 6, 2025, timu ya #Liverpool imepoteza mchezo wake wa pili msimu huu (2024/25) katika Ligi hiyo kwa kukubali kichapo cha Magoli 3-2 kutoka...
Klabu ya Al Ahly imemtimua kocha wake, Marcel Koller siku moja baada ya timu hiyo kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.
Katika taarifa iliyotolewa leo...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu mwaka 2026 itajenga Arena kubwa kwaajili ya matamasha ya...
Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico.
Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu,
Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto.
Ni El clasico nzuri baada...
Huyo Ikangalombo amekuja Yanga kubana nafasi tu za vijana wetu akina Nkane
Nkane ni mzuri zaidi ya Ikangalombo
Nkane ana skills za football
Nkane ana speed
Nkane ana akili
Anajua ku cut in...
Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas...
Kwanini Yanga wajivunie fiston Mayele
Kuanzia hatua za awali Fiston Mayele kawafungia magoli 8 Pyramids katika michuano hii ya Caf.
Mayele aling'alishwa nyota yake alipokuwa Yanga kiasi Kwamba...
Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza...
Mnyama kesho anafuzu nusu fainal bila shaka yoyote, narudia kesho mnyama anafuzu pale Durban.
Utake usitake au kwa kisambaa Inye Iche tunakwenda final.
Tujiandae kwa wingi kwenda kuipokea pale...
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, tukiachana na utani wetu wa jadi wa hapa na pape ila mtani katisha
Mtani Leo amepata ufadhili mkubwa mno, billion 38 Kwa miaka 5 ni pesa ndefu mno,
Simba...
Mechi kali ya mkondo wa kwanza Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika inapigwa leo, ambapo Mnyama Simba SC anawakaribisha Stellenbosch FC kutoka Afrika Kusini, katika dimba la Amaan, Visiwani...
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika...