Mchezaji wa TP Mazembe B. Samata jana usiku aliifungia timu yake goli la ushidi dhidi ya zamalek ya misri.Wakicheza kwenye uwanja wa cairo bila mashabaki ,Tp mazembe ilifunga magaoli mawili...
After a weekend of breathless Premier
League action its time to dust off your
Spanish phrasebooks and enjoy a little
Iberian fare.
El Clasicos back tonight in the first leg of the Spanish...
Hayawi hayawi yamekuwa,leo majira ya saa 10:15 kwa saa za afrika mashariki ilikuwa ni chereko nderemo na vifijo pale mashabiki wa Yanga walipojaa uwanja wa ndege wa Mwl Julius Kambarage Nyerere...
Waliopata ITC kwa upande wa Kagera Sugar ni Wilfred Ojodale Ame na Benjamin Efe Ofuyah wote kutoka FC Abuja ya Nigeria. Wengine ni Deangelis Silva kutoka New Road ya Nepal kwenda Coastal Union...
Saintfiet has accused the Yanga administration of not meeting part of their bargain that involved paying him salary,arranging for friendlies and providing him a car according to his contract...
kufuatia kipigo cha finalii ya kagame kutoka kwa yanga,azam bado inaendelea na migogoro yao na wachezaji wao safari hii wamemvunjia mkataba moses othiambo.Inashangaza cozwalitangaza kumaliza...
Written by Robin Toskin | The Standard | August 28, 2012
"The hunger that has hope for its satisfaction does not kill," so goes an African proverb.
Such is the hunger for football success that...
Baada ya juz Yanga kuzuru Ikulu kwa Jk,kuna taarifa kuwa mheshimiwa aliwaita ikulu ili akague usajili wake..baada ya hapo ziara hyo yenye sura ya kisiasa iliendelea mpaka Rwanda huku msemaji wa...
Yanga imezidi kuwaonesha watanzania kuwa haibahatishi ushindi wake baada ya kuwachapa Africa lyion Bao nne (4) kwa sifuri, imewafurahisha mashabiki wake kwa ushindi huo mzuri kabisa, kwa mujibu...
NEW YORK (AP) -- American teenager Sloane Stephens upset 22nd-seeded Francesca Schiavone in the first round of the U.S. Open on Tuesday.The 19-year-old Stephens won 6-3, 6-4 against the 2010...
Drogba and Anelka contracts under threat August 28, 2012
By ESPN staff
Shanghai Shenhua's marquee signings Didier Drogba and Nicolas Anelka could soon be back on the market, with the...
Binafsi hupenda kumwita Mzee wa TSC ksbb blog yake husheheni matukio ya kituo hiki cha kuendeleza soka la vijana sijui kwasababu walimu'offer safari ya kuandamana na ile team yao kule Ujerumani? I...
Nimeudhishwa sana na kitendo cha kitapeli na kisichokuwa cha kiuanamichezo kilichofanywa na mchezaji MBUYU TWITE wa APR ya Rwanda. Mchezaji huyu alisajiliwa na Simba SC kutoka APR, lakini katika...
Hakyanani tutaua mtu mwaka huu.Lazima tuunde mid-field moja ya hatari saana.Tumemtwaa kwa 42million,atavaa jezi namba 19 na tumempa mkataba wa miaka mitano(5).karibu sana jembe Modric.
Katika siku za karibuni kuwekuwepo hoja kuwa jina la timu yetu ya Taifa libadilishwe, hii inatokana na wadau wengi wa michezo kuhoji kwanini tusiwe na jina linaloakisi baadhi ya rasilimali zetu au...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakata Mrisho Kikwete amewapa mwaliko mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati mara mbili mfululizo, Yanga SC kupeleka Kombe lao Ikulu.
Mwenyekiti wa klabu ya...