Tenga anapongezwa kwa lipi?

Tenga anapongezwa kwa lipi?

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,709
Reaction score
1,735
Rais Leodiger Chila Tenga wa TFF ametangaza kutogombea tenga nafasi hiyo katika uchaguzi ujao, sasa pana watu wanampongeza hasa hasa wanaowania uongozi hapo TFF katika uchaguzi huu kwa lipi hasa? Je ni:-
1. Kwa kusema hagombei tena nafasi hiyo.
2. Kwa kuziwezesha timu zake za Simba na Yanga kufadhiliwa na TBL na kuviacha vilabu vingine.
3. Kuifanya ligi kuwa mbovu kupita zote tangu nchi hii kupata uhuru au
4. Kujijengea sifa binafsi (badala ya nchi) CECAFA, CAF na FIFA?
 
Back
Top Bottom