Baada ya ushindi rahisi dhidi ya team ya mtaani sijui Unga Limited ya Arusha na ushindi wa tabu dhidi ya team dhaifu ya Ligi kuu ya Tanzania Bara JKT Oljoro,uliofatiwa na kulazimisha sare dhidi ya...
Hizi nimezipata toka chanzo kimoja cha habari,ila kuhusu swala la YONDANI Yanga wamepewa muda mpaka tar 9 mwezi huu ili wawe wamevunja mkataba wa YONDANI simba.
Chanzo hicho kinaendelea kusema...
Nawasalimu wana JF!
Kuna tukio ambalo si la kistaarabu kwenye soka,ingawa watu wa ndondi kwao inaweza kuwa sawa.Kama kuna kumbukumbu wakati ligi kuu ya Vodacom inaishia msimu uliopita kulitokea...
Muda mrefu sasa wadau wa soka wamekuwa wakilalamika kiwango kibovu cha soka nchini Tanzania na kutupia lawama kwa viongozi wa vilabu,makocha na wachezaji lakini kuna jambo moja ambalo...
Ubabaishaji mkubwa ndani ya TFF ambao wanadhamana kusimamia maendeleo ya mpira wa miguu Tanzania utaangamiza soka letu. Wakati dirisha la usajili lilipofungwa, TFF waliongeza muda wa usajili kitu...
Yanga wanaweweseka sana na rage, kwan sasa wamekuwa ndo waongeaji sana kuhusu rage ooh aondoke simba kwa vile anahiujumu simba. Mbona sisi wenyewe hatuon alipotuhujumu? Simba sio kama nyie yanga...
Leo ngoja niibukie kivingine kidogo,nafikiri kwenye ukweli wacha tuongee ukweli,kuna kila dalili kuwa Watani zetu (Simba S.C) wamelamba dume kwa usajili wao walioufanya dakika za lala salama hasa...
Andres Iniesta,kiungo mchezechaji wa FC Barcelona,ndiye mchezaji bora wa Ulaya kwa msimu wa 2011/2012. Amejizolea alama 18 huku Lionel Messi na Christiano Ronaldo wakijipatia alama 17 kila mmoja...
Wafuatao wamehama timu zao za zamani
Rafael Van Der Vaart
Huyu ametoka Totternham kajiunga na Hamburg Fc ya German kwa miaka 3
Maicon
huyu nae ameenda Mancity...
yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa...
Mchezeji wa kimataifa wa Tanzania mbwana samata anayekipiga katika timu ya tp mazembe ameendelea kuwa mwiba mkali kataka ligi kuu ya demokrasoia ya kongo. Samata, akiingia kutokea benchi katika...
Tumeona watoto wa Catalunya(La Masia) wakipata ushindi wa goli moja dhidi ya Valencia kupitia Adriano kutoka
kwa pasi ya Messi katika uwanja wa Nou Camp kufanya Barcelona kuwa mbele kwa pointi 9...
Ronaldinho is not dead or a very dead Ronaldhinho plays ball at Atletico Mineiro Internancional Brasil Seria A game. Ronaldhinho dead in car crash news is a hoax.
The soccer star of Atlético...
A Robin van Persie hat-trick saw Manchester United come from behind twice to beat a resilient Southampton side 3-2 in Sir Alex Fergusons 1000th league game in charge.
Don't Miss...
Amefunga bao moja kati ya mawili walipoishinda Al Ahli ya Misri hivi punde. Bao lingine limefungwa na Canda. TP Mazembe imejihakikishia nafasi ya robo fainali ya Klabu Bingwa Barani Afrika. Ni...