CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
Ni katika kuthibitisha kwamba wako kimataifa zaidi j.mosi watakipiga na timu ngumu ya BLACK LEOPARD ya AFRICA KUSINI inayoshiriki ligi kuu ya huko kwa mzee MADIBA.
Kipute hicho kitapigwa taifa.
My take:BLACK LEOPARD wameingia choo cha kike,walah watajuta kwa mabingwa hawa wa ukanda wa CECAFA waliokua ziarani kimafunzo majuu.
Kipute hicho kitapigwa taifa.
My take:BLACK LEOPARD wameingia choo cha kike,walah watajuta kwa mabingwa hawa wa ukanda wa CECAFA waliokua ziarani kimafunzo majuu.