Finally they are beaten

Finally they are beaten

Dah sa ulitaka tusifungwe?..bora tumefungwa tutoe gundu la kufatiliwa sana..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Dah sa ulitaka tusifungwe?..bora tumefungwa tutoe gundu la kufatiliwa sana..

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Pole blaza, upo lakini? Long time no c
 
Mbona barc ya villanova ya kawaida sana siyo kama ya pep
 
Mbona barc ya villanova ya kawaida sana siyo kama ya pep

Ila hiyo record ya kucheza game 19 bila kufungwa na kudroo just one game hata Pep hakuwa nayo
 
Mbona barc ya villanova ya kawaida sana siyo kama ya pep

Tukumbuke Tito hata mwaka hana tangu ateuliwe kuwa Manager, akikaa nayo kama Mwaka na Nusu hv nadhani Itabadilika sana.
 
hapa inauma kwa wale walevi wenzangu wa kubet ndio washachana mikeka sasa hivi majonzi tu..
 
Baada ya makamu wa rais wa chama kusema kunatimu zinapanga matokeo ya ligi kuu hatimae tunanza ona matokeo halisi yasiyo ya kupanga
 
Na huyo Messi mimavi mitupu.
Bora hata ya Lualua...

Doh!!!! you clearly hate the boy
Jana wamepata kichapo na sio kwamba Sociedad walipaki bus, they played well hasa dk za mwisho, na refa alimuokoa Iniesta asipate red card!
 
Gutierez wapi jamani!mie namjulia hali tu hata sitazungumzia soka leo!
 
Mkuu, amekuwa hapo Barca hata Messi hajabarehe.

Barca wanafanya kuendeleza kocha na si kuleta mpya. Kumbuka mwaka wa mwisho Pepe alikuwa ameomba ajitowe kwenye ukocha ila wakamuomba aongeze mwaka mmoja zaidi. Nafikiri kipindi hicho jamaa alikuwa ndiyo kama kocha Mkuu ingawa kwenye makaratasi alikuwa msaidizi.
Tukumbuke Tito hata mwaka hana tangu ateuliwe kuwa Manager, akikaa nayo kama Mwaka na Nusu hv nadhani Itabadilika sana.
 
Lu! ilinipita wapi hii jamani, am happy hata hivyo kwa hii taarifa.

hawa jamaa walitaka kuharibu maana ya ushindani, sasa walau wafungwe bwana nasisi wengine tufarijike japo kidogo tu.
 
Na huyo Messi mimavi mitupu.
Bora hata ya Lualua...

This must be the new level of HATING! I'm not a Barca fan but I can't go as far as that. Arsenal went undefeated ( I don't remember the year) for the whole season but nobody hated them like this. You guys are going to kill yourselves with stress. Take it easy, after all it's just a GAME!
 
Back
Top Bottom