Leo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co,
Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba?
Msikose mtanange huu.
Forza Milan!
Wadau,
Nimejaribu kufuatilia hili sakata la TFF, kati ya Wizara na TFF nimeona kuna mambo ya kujadili, ukimsikiliza Waziri anadai kua katiba mpya ya TFF imekiuka taratibu na kwa hiyo katiba hiyo...
Napenda kuirejea post yangu kuwa; SIMBA NI TAASISI, JE UNABISHA?
Ninapata ujasiri wa kuandika hivi kutokana na kile kilichojiri jana uwanja wa Taifa kati ya simba na costal union. Labda...
Viongozi wawili wa klabu ya Simba -- mmoja wa kuchaguliwa na mwingine wa kuteuliwa -- wamejiuzulu katikati ya wiki huku wakitoka sababu ambazo, tunaona Nipashe, ni za kupotosha.
Makamu mwenyekiti...
Ukitazama kwa ujumla mchakato wa uchaguzi wa Tff utagundua umejawa na kichefuchefu cha ukiukwaji wa kikatiba kwa muda mrefu. Ifahamike hiki ndicho walichopanda muda mrefu kwa kigezo cha...
AGIZO LAKE HALITEKELEZEKI -RAIS TENGA
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limesema ipo haja kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kufikiria upya uamuzi wake wa...
Najiuliza na bado naendelea kujiuliza mh amos makalahivi huyu takataka mwingine mliempa
jina la msajili kwa nini anaendelea kuwa madarakani??
Kama mjuavyo sakata zima watanzania limeanzia kwenye...
Mie hupenda kusikiliza kipindi cha michezo hasa radio 'Clouds'. Jumapili iliyopita katika kipindi chao cha michezo saa saba mchana walijikita katika uuzaji wa wachezaji na kusangaa kuwa klabu...
Mgogora uliopo kati ya serikali na TFF umechukua sura mpya baada ya shirikisho la kabumbu dunia(FIFA) kuiandikia barua TFF kusudio la kuifungia Tanzania endapo itathibitika kuwa serikali imekuwa...
Sakata la malumbano yanayoendelea baina ya serikali na TFF KUHUSU KATIBA yanazidi kuchukua nafasi siku hadi siku....sielewe TFF inataka nini? na inatoa wapi huu musuli wa kuichezea serikali hii...
Mimi mwenzenu wikiendi ya soka ilikuwa ni kicheko tu....
1) Yanga 1 Toto 0 (chachandu yake Azam 1 Polisi 1)
2) Liverpool 3 T Spurs 2 (within 7 pts kuingia kwenye top 4)
3) Suarez...
MODS sijui kwa nini mliiondoa post yangu ya awali. Kama tunapiga kelele juu ya freedom of expression humu jamvini lakini tunashindwa kuipractise (failing to walk the talk), hiyo ni double standard...
Hay wanamichezo wenzangu
bado mko fiti hakuna aliyejidhurukwa chochote kilichotokea jana.
maana usiombe ardhi itokeze nje
mambo ya jana yaliyokuwa ya aina yake pale mtu mzima anayejidai na...
Kadi nyekundu aliyopewa Luis Nani katika mchezo dhidi ya Real Madrid ilikuwa nongwa. Manchester walichapwa 2-1 nyumbani kwao Old Trafford na kutupwa nje ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya...
Mabingwa watetezi Simba, leo wanashuka kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuwakabili Coastal Union katika mechi ya Ligi kuu ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kwani Simba watakuwa...
Mechi ya leo 10/3/2013 kati ya Simba Vs Coastal union na Simba kushinda 2-1 NADHANI KUNA SOMO FULANI AMBALO TUNAWEZA KUJIFUNZA. Sizungumzii kupongeza ushindi bali nataka kuzungumzia aina ya...