Masikini Elia Nathnael winga wa kukimbiza wa Simba SC ya Dar msimu wa 1998 - 1999, 2000 akiwa na akina Machupa, Marehemu Machepe na wengineo .....ni miongoni mwa watanzania mabondia waliofungwa miaka 15 nchini Mauritius ... cha kushangaza ni kwamba huyu jamaa hakuwahi kuwa bondia hata siku moja lakini kutokana na sababu zisizojulikana akajikuta ni miongoni mwa mabondia waliokamatwa na madawa ya kulevya nchini humo... duu inasikirisha sana