Wadau wa michezo jana ilikuwa ni siku ya kugawa tuzo za wanamichezo bora wa mwaka..katika mpira wa miguu nimesikia AMRI KIEMBA wa simba amekukuwa mwanasoka bora wa mwaka kwa upande wa mpira wa miguu..je katika category zingine kuna wachezaki gani mwenye kujua atufahamishe..nawasilisha